CCM ni Mwanachama Hai wa 'Progressive Alliance' chama kinachotetea Ushoga Duniani.

Kuna kada mmoja aliwahi kukamatwa kule visiwani akiwarubuni vinana na kuwauza kwa mabasha. Ile ile kesi ilikufa kibudu
 
Ngoja niwaambie jambo leo

1. Tanzania ushoga sio kosa la jinai na hata leo akijitokeza mtanzania akajitangaza ni shoga hakuna mamlaka inayoweza kumkamata kwa kutenda kosa la jinai sababu ushogasio kosa la jinai.

2. Katiba yetu pia inawalinda na kuwatambua kama 'watu ambao kwa ''jinsia au hali yao ya maisha kwa namna ambayo watu wa aina fulani wanafanywa au kuhesabiwa kuwa dhaifu au duni na kuwekewa vikwazo au masharti ya vipingamizi ambapo watu wa aina nyingine wanatendewa tofauti'' hii ipo wazi chini ya Ibara ya 13(5)

Hili swala limebaki kuwa kosa kimaadili tu ila kisheriani swala lipo wazi sana kwenye uhalali wake.
 
 

Attachments

  • IMG_20230323_192240.jpg
    27.8 KB · Views: 14
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…