Rozela JF-Expert Member Joined Jan 5, 2024 Posts 845 Reaction score 2,235 Dec 27, 2024 #1 CCM kila mtu anajipigia anasepa. CHADEMA shoo zote anasimamia kamanda wa anga, mjomba wangu kumbukeni kuwa mjomba ni mama. Ambao hamjachangia kadi zenu fanyeni hima tunahitaji kuchoma mbuzi zaidi mwaka mpya.
CCM kila mtu anajipigia anasepa. CHADEMA shoo zote anasimamia kamanda wa anga, mjomba wangu kumbukeni kuwa mjomba ni mama. Ambao hamjachangia kadi zenu fanyeni hima tunahitaji kuchoma mbuzi zaidi mwaka mpya.
LIMBOMAMBOMA JF-Expert Member Joined Oct 3, 2017 Posts 10,482 Reaction score 14,007 Dec 27, 2024 #2 Haahaa mbowe nilidhani ni mwana mabadiliko wa kweli, kumbe sivyo, umma kwa sasa unamtaka lissu yeye kachukua fomu😂😂
Haahaa mbowe nilidhani ni mwana mabadiliko wa kweli, kumbe sivyo, umma kwa sasa unamtaka lissu yeye kachukua fomu😂😂
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 Dec 27, 2024 #3 Niyeye LISSU 2025
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Dec 28, 2024 #4 Inasikitisha sana... Cc: Mahondaw