James Martin
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,205
- 1,509
Nakumbuka post yako ile..naikumbuka sana ..nilisahau tu kukuwekea hii pichaSiku chache zilizopita nilitoa maoni yangu kutathmini awamu hii ta tano. Niliandika kuwa pamoja na kuchukizwa na na baadhi ya mambo lakini namuunga mkono Magufuli. Niliandika pia siamini kama rais anaweza kuyajua mambo yote ya moja kwa moja pale anapoingia madarakani, mambo mengine hujifunza akiwa ofisini. Kwahiyo, nilikuwa tayari kumuunga mkono Magufuli nikiamini kuwa atajifunza kutokana na makosa...
Kama unalipenda taifa letu kwa dhati kabisa bila unafiki huwezi muunga mkono magu kamwe, chini ya magu umoja wa taifa letu unakufa, chuki inatamalaki.lissu ni mzalendo wa kweli
Kwangu huo ndo ukweli, ingawa sikuzuii kumshabikia Huyo jpm wako, kiongozi muda wrote anagawa watu kwa tofauti zao.Naamini kulipenda taifa lako ni pamoja na kutenda haki kwa wrote.magu kashindwaMkuu
Nakushauri uache kupoteza nguvu kazi yako kwa kushabikia vitu vya kipuuzi kabisa.
Tupunguze mahaba kwenye vitu halisia!
[emoji23][emoji23][emoji23]malipo ubwabwa ndondoHii video nimeingalia vizuri hawa machalii wanatumika vibaya mbaya zaidi wanaowatuma wanashindwa hata kuwapa chakula angalau wali na ndondo, Ukiwangalia machoni wananjaa hadi sura zao zimepoteza nuru wamekaririshwa maneno ya kuongea siajabu wamewaada kua watawapa ubwabwa wakimaliza kazi waliowatuma vijana tusikubali kutumiwa kama ndomu.
Wasalimie huko uendako. Wengine wengi tu tumebaki kama kipindi kile cha Lowassa.Siku chache zilizopita nilitoa maoni yangu kutathmini awamu hii ta tano. Niliandika kuwa pamoja na kuchukizwa na na baadhi ya mambo lakini namuunga mkono Magufuli. Niliandika pia siamini kama Rais anaweza kuyajua mambo yote ya moja kwa moja pale anapoingia madarakani, mambo mengine hujifunza akiwa ofisini. Kwahiyo, nilikuwa tayari kumuunga mkono Magufuli nikiamini kuwa atajifunza kutokana na makosa.
Kwa bahati mbaya nilifanya makosa. Kwanza, nataka kumweleza Magufuli kuwa kwasababu nilikuwa namuunga mkono haina maana nilikuwa nauchukia upinzani. Nathamini mchango wao na naamini kama serikali ikiachiwa ifanye inavyotaka bila kukosolewa itajisahau na kufanya mambo ya hovyo.
Pili, mambo wanayofanyiwa wapinzani hivi karibuni siyafurahii na siwezi kuvumilia upuuzi huu.
Kiambatanisho hapo chini kinaonyesha maoni yangu siku chache zilizopita nikimmunga mkono.