Pre GE2025 CCM nilitegemea mtoe shukrani kwa Rais kwa kuleta mafuriko. Maana kila kitu anaupiga mwingi!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kipindi Cha mwendazake Kuna shehe ubwabwa alijitoa ufahamu akakufuru kwa kusema mwendazake Ni zaidi ya mtume. Punda si punde wakamvurusha kwenye kile cheo akapewa MTU mwenye maadili mema mbele za Mungu.
Akaja mwingine simtaji jina, akapaza sauti akasema hadharani MUNGU mwenyewe ndio amshukuru mwendazake . Hakuna kufuru zaidi ya hii chini ya jua kutoka kwenye kinywa Cha binadamu. Punda si punda mwendazake akatwaliwa. Jamaa akabaki ili apewe muda wa kutafakari kufuru aliyofanya.
Hawa wawili walifanya high level blasphemy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…