kalistus komba
Member
- Nov 22, 2017
- 16
- 5
Ramli ya kipuuzi Sana hii, haifaiKumbe nia ya kutumia nguvu kubwa katika kuuwa upinzani ni ili wapate wabunge wengi bungeni na wapate nafasi ya kupata kula ya ushindi pale watakapopigia kumwongezea rais muda wa kukaa madarakani, sasa washindwe na walegee kabisa hawa sisi wananchi tumeshachoshwa......
Yaani sijui wanataka wapeleke wapi Tanzania yetuRamli ya kipuuzi Sana hii, haifai
Muda upi??????Sijui muda ukifika kama utaonesha ujasiri huo
Muda upi?Sijui muda ukifika kama utaonesha ujasiri huo
Eti "sisi wananchi" tumeshachoshwa. Si useme tu sisi makarai ya ufipa?...sisi wananchi tumeshachoshwa......
Ramli ya kipuuzi Sana hii, haifai
Jamani yule dogo Katambi hajawekwa kwenye kamati?Eti "sisi wananchi" tumeshachoshwa. Si useme tu sisi makarai ya ufipa?