Dr Adam Francis
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 790
- 1,316
Leo natamani kupata maoni ya makada wenzangu wa Chama Cha Mapinduzi, waliopo humu jukwaani.
Kuna ubaya gani wa kuwapa CHADEMA reforms wanazozitaka ili washiriki uchaguzi bila manung'uniko?
Mm binafsi sijapata kusikia mtu hata mmoja, ndani na nje ya CCM akisema hivi, reform hii inayodaiwa na CHADEMA ubaya wake ni huu, na reform ile ubaya wake ni ule! Ninachokisikia ni muda hautoshi kana kwamba CHADEMA wameanza kudai reforms zao leo.
Kwenye uchaguzi huu, CCM itakuwa na mtaji wa kura 13milioni za kuanzia za wanachama wake, na kura yangu ikiwepo, mafanikio ya ilani 2020-2025 ya kuyanadi, Sh. 86 bilioni kwaajili ya kampeni, mabalozi wenye hamasa waliowezeshwa baiskeli, watendaji wa CCM kata wenye hamasa waliowezeshwa pikipiki, mabasi ya kisasa n.k. Chama gani kitatushinda?
Mm nadhani, kutokuwapa CHADEMA reforms wanazozitaka sio sawa. Inaleta imani kuwa CCM inategemea madhaifu ya sheria zetu kushinda chaguzi badala ya nguvu yake ya kisiasa na imani ya wananchi.
CCM ni kubwa sana, ushindi wake kwenye uchaguzi hauwezi kuhatarishwa na reforms wanazozitaka CHADEMA. Tuwape reforms, tuwashinde uchaguzi, tutakuwa tumewaziba midomo.
View: https://vm.tiktok.com/ZMALV8XcR/
Na uhaini alioufanya Lissu ni kusema wazi kuhusu miradi ya makaa ya maweView attachment 3447748
View attachment 3447749CCM inaongozwa na huyu Maliki wa maliasili zetu assures Reforms nor fair Elections
CCM inaangukaje kwa mfano? Leta hesabu hapa tuzione.THE FALL OF CCM 1995-2025.✍️📌
Kweli Kabisa Kipenzi ChanguNa uhaini alioufanya Lissu ni kusema wazi kuhusu miradi ya makaa ya mawe
Kwa takwimu zipi, CCM itashindwa na CHADEMA? CCM ndio maisha ya wananchi ya kila siku, huku tunakoishi mitaani, wananchi wote wanaona mabalozi wa CCM ndio viongozi wao karibu zaidi na hawa ndio wanaowahimiza wanachama wa CCM kwenda kupiga kura.CCM hata Dunia ipinduke mara nne haiwezi kuruhusu hizo reforms. Wanajua hawapendwi na wananchi kwa hiyo watakuwa wametoa nchi kwa Chadema. Samia hakubaliki na serikali yake yote.
Sky Eclat tutake radhi! Mwenyeki wetu ni Dr. Samia, bado tupo naye sana na tuna tamba naye.View attachment 3447748
View attachment 3447749CCM inaongozwa na huyu mmiliki wa maliasili zetu assures Reforms nor fair Elections
Kwani CHADEMA sio watanzania?Ubaya wake ni kwa sababu tu zinadaiwa na CHADEMA.Hakuna sababu ya msingi kukataa kwa CCM.
Hata wao aibu hawaoni,je hata huyo tajiiri wao?Na uhaini alioufanya Lissu ni kusema wazi kuhusu miradi ya makaa ya mawe
Hati ya mashtaka yake inasema nini kwani? Mm nilijua ni uhaini, kumbe ni mambo ya makaa ya mawe! Kipenzi ChanguNa uhaini alioufanya Lissu ni kusema wazi kuhusu miradi ya makaa ya mawe
Muajemi anaongoza Tanzania, futseke!!View attachment 3447748
View attachment 3447749CCM inaongozwa na huyu mmiliki wa maliasili zetu assures Reforms nor fair Elections
Mkikaa na wana-CCM uwaulize hilo.Huwa wanaonesha kabisa mtu asiyeisapoti CCM si mtanzania ila wao tu.Kwani CHADEMA sio watanzania?
Na sisi wamatumbi tunamuita mheshimiwa huyu jangili wa maliasili zetu assures Reforms.Muajemi anaongoza Tanzania, futseke!!