Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Simple CCM ndio wanamiliki Polisi.Kuna jambo limekuwa kama kitendawili kwangu, na sielewi tafsiri yake ni nini!
Kwenye maisha ya kawaida ya watanzania na huku kwenye mitandao ya kijamii, watu hupata wasiwasi na hatima ya mtu anayeikosoa CCM kuliko anayeikosoa CHADEMA.
Imekuwa ni kawaida mtu kuonywa ama watu kuandika maneno yenye kuashiria kuna jambo la hatari linaweza kumtokea mtu anayeikosoa CCM.
Lakini sijawahi kuona watu wakitia shaka kuhusu usalama wa uhai au maisha ya mtu anayeikosoa CHADEMA au viongozi wake.
Kuna wakati wanachama wa CCM au wafuasi wao husema maneno ya vitisho yenye kuonesha wanachadema na viongozi wao wanatakiwa kudhuriwa lakini hakuna mtu yeyote anayeonesha hao wana CCM uhai ama maisha yao yako hatarini.
Hebu wana CCM nisaidieni kutegua hiki kitendawil. Ni kwa nini nyie mkikosolewa watu waone hao wanaowakosoa wamo hatarini lakini chadema wakikosolewa hakuna mtu anayeonesha hao wakosoaji wa CHADEMA wamo hatarini?
Kuna jambo limekuwa kama kitendawili kwangu, na sielewi tafsiri yake ni nini!

🤔💭👍🤝🙏Kuna jambo limekuwa kama kitendawili kwangu, na sielewi tafsiri yake ni nini!

Basi hii ni hatari... Jee akija mtu toka chama kingine na akawa kiongozi hali itakuwaje au atafanya nini ili kurekebisha Hali ya mambo?Tambua ya kwamba, wale watekaji yaani 'Watu Wasiojulikana' wanapokea Amri kutoka kwa hawa Watu. Hao Watekaji wengi zaidi kama siyo wote Ajira zao za kwanza 'Ma-Referee' wao walikuwa hao Watu. Lile tawi la Vijana la Chama hiki ndio Mlango wa kuingilia kwenye Ajira za hao Watekaji.
CCM ni wajinga tu na existence yao inategemea uwepo wa Polisi, TISS, Mahakama n.kHebu wana CCM nisaidieni kutegua hiki kitendawil. Ni kwa nini nyie mkikosolewa watu waone hao wanaowakosoa wamo hatarini lakini chadema wakikosolewa hakuna mtu anayeonesha hao wakosoaji wa CHADEMA wamo hatarini?
Huku kujimwambafai kunatokana na nini...CCM ni wajinga tu na existence yao inategemea uwepo wa Polisi, TISS, Mahakama n.k
Polisi na TISS na MakahabaHuku kujimwambafai kunatokana na nini...
Unasema???!!!Kuna jambo limekuwa kama kitendawili kwangu, na sielewi tafsiri yake ni nini!
Kwenye maisha ya kawaida ya watanzania na huku kwenye mitandao ya kijamii, watu hupata wasiwasi na hatima ya mtu anayeikosoa CCM kuliko anayeikosoa CHADEMA.
Imekuwa ni kawaida mtu kuonywa ama watu kuandika maneno yenye kuashiria kuna jambo la hatari linaweza kumtokea mtu anayeikosoa CCM.
Lakini sijawahi kuona watu wakitia shaka kuhusu usalama wa uhai au maisha ya mtu anayeikosoa CHADEMA au viongozi wake.
Kuna wakati wanachama wa CCM au wafuasi wao husema maneno ya vitisho yenye kuonesha wanachadema na viongozi wao wanatakiwa kudhuriwa lakini hakuna mtu yeyote anayeonesha hao wana CCM uhai ama maisha yao yako hatarini.
Hebu wana CCM nisaidieni kutegua hiki kitendawil. Ni kwa nini nyie mkikosolewa watu waone hao wanaowakosoa wamo hatarini lakini chadema wakikosolewa hakuna mtu anayeonesha hao wakosoaji wa CHADEMA wamo hatarini?
Ukiikosoa CCM watu wanakuonya uwe muangalifu usije ukadhuriwa, lakini ukiikosoa CHADEMA hakuna onyo kama hilo....KWA NINI?Unasema???!!!
Basi hii ni hatari... Jee akija mtu toka chama kingine na akawa kiongozi hali itakuwaje au atafanya nini ili kurekebisha Hali ya mambo?