UNDENIABLE
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 2,326
- 1,314
Hahahaha. Utahatibu soko sasaNa mie nanunulika nyie ccm
Fanya promo ya utetezi yaani jitoe huo ufahamu kwa posti mbili tatu.Hata mimi humu JF wakitaka kuninunua waje tu nianze kuwatetea ccm walete bilioni moja tu inatosha, kesho naanza kutetea Uozo wote wa ccm, nitajitoa ufahamu wote na kuwa kama zuzv
Mkuu zile nyufa ni za kawaida tu kwanza wali zoom ndiyo maana zinaonekana kubwa, nyie chadema mnaona wivu tu hahahaha nipe like mkuu HahahahahahaFanya promo ya utetezi yaani jitoe huo ufahamu kwa posti mbili tatu.
Tetea zile nyufa!
Huhitaji kuwa mbunge. Watakiwa kuwa CDM au basi CUF.Nimewaza na Mimi hicho kitu.Nikatamani ningekuwa mbunge wa upinzani yaani Leo Leo ningewaita Kama Ni hela kwa kweli yaani ya bure bure tu.
Upo vizuri, Lazima usajiliwe hahahahhaha..Mkuu zile nyufa ni za kawaida tu kwanza wali zoom ndiyo maana zinaonekana kubwa, nyie chadema mnaona wivu tu hahahaha nipe like mkuu Hahahahahaha