Bendela hizi hapa chini zinatia aibu. Zimechanika na bado zimeng'ang'ania mitini😀 Moja ni bendela ya halmashauri ya wilaya ya Muleba mkoani Kagera.
Ya pili ni bendela ya sisi m. imekutwa kwa mwenyekiti wake wa tawi moja huko Bukoba. Kama bendela haziwezi kubadishwa na kuwekwa nzuri je maendeleo yanawezekana kutetewa na hawa wenyeviti wa mitaa? Nina mashaka.
Hizo bendera ni kielelezo halisi cha hali ya nchi ilivyochoka. Mitaro, barabara, majengo, mashule, mahospitali nk yanafananafanana na hizo bendera. By the way msikonde next year zitabadilishwa .. huwa zinabalilishwa wakati wa general elections.
Haaaaaaaaa!!!!!!!!!!. Chadema si hizi inatumia bendera za ccm? Usijitetee. CCM yenyewe imechakaa vya kutosha ndo maana hata bendera zao zimechakaa. Nawashauri wazipeleke kwa fundi cheraani wakaziwekee virakamaana hawatakuwa na pesa za kununua mpya. mianya mingi waliokuwa wanaitumia imejulikana, hivyo wakitu mia pesa walizo nazo vibaya kwa kununulia bendera, wataoksa pesa za kuonga wapigakura.