Kwa mfumo wa kura za maoni kupigwa na wajumbe tu kumeleta madhara makubwa ya kiuongozi nchi hii
Jimbo la MWANGA mkoani Kilimanjaro ni Moja kati ya majimbo yalokosa uelekeo wa kiuongozi katika awamu ulopita.
Mbunge wa Mwanga ndugu yangu Joseph Tadayo sio tu kuwa hajui majukumu ya Mbunge Bali pia anaonekana kutojua kazi za kibunge.
Sijaweza kumwona popote alipopaweza si kwa kuleta maendelewa jimboni Wala hata kujenga hoja katika michango ya kawaida ndani ya bunge
Zaidi sana yeye akishirikiana na mkurugenzi Mwajuma Nashombe ambaye kahamishiwa Moshi mjini walishiriki kufanya ufisadi wa ajabu katika ujenzi wa Hospitali ya wilaya.
Mbunge huyu hakuwa chaguo la watu wa Mwanga kwakuwa walimjua kuwa haiwezi kazi hii bali alijipenyeza kwa kuhonga wajumbe kisha kupenya Tena kwenye uchaguzi mkuu kutokana na kuvurugwa kwa uchaguzi wa 2020 operation fukuza wapinzani bungeni iloendeshwa na serikali ya hayati Magufuli.
Wito wangu kwa Chama hiki kikongwe rudisheni mfumo wa zamani wa kura kwa wanachama wote hii itakuwa ngumu kwa watu kununua kura.
Wajumbe hununuliwa kirahisi sana.