Elections 2010 CCM Presha Inapanda Inashuka: Video yangu ya leo

Kichuguu,
Nimependa ile ya Musoma. Na wimbo wameshawatungia hawa sisi em
 
Ipi hiyo nyingine jamani, naona nimechelewa sana. Ninajua kuwa hata hii imetokea Musoma. Mdundo wake ni ule wa " Chiliwanu chisunile, omwana bamagega ......."
 
puuuuresha inapanda inashuukaaa
puuuuresha inapanda inashuuukaa
CCM puuuresha inapanda inashuuka

Wimbo mkali kweli kweli.
 
Mwingine uko kwenye link hii hapa
Documentary

angalia video #3 kuanzia dakika ya 14 na sekunde 40............tuwamwage majambazi CCM
 
Hapa naona presha inapanda haishuki
 
Kikwete na Makamba crime wliaoifanya kwa watanzania ni kuchukua mamia ya vijana wa Musoma na kuwafundisha kozi za jeshi kwa siri kupambana na Chadema hii ni sawa sawa na ule uharamia wa Intarahamwe kule Rwanda na Burundi hii nafikiri inabidi watanzania wafikirie kweli CCM inaitakia mema Tanzania .
 
Wengine ni Wabantu hasa, khaaa!!! KAma Wanyamwezi vile...

PULEESHA inapanda, inashuka.
 
Hivi CHADEMA ni chama cha wanawake na watoo? Mbona naona wanawake na watoto tu katika video yako.

Kumbe ndio maana TCIB ilifanya utafiti kwa watoto wa darasa la saba!Jibu nimepata.
 
Last edited by a moderator:
Hivi CHADEMA ni chama cha wanawake na watoo? Mbona naona wanawake na watoto tu katika video yako.

Kumbe ndio maana TCIB ilifanya utafiti kwa watoto wa darasa la saba!Jibu nimepata.

Haaaaa haaaa.
Na wewe pia, Puuuuuuuresha inapanda inashukaaaaaa
Na wengine kama wewe puuuuuuuuuresha inapanda inashuuukaaa
CCM, puuuuuuuuuuresha inapanda inashuka
 
Hivi CHADEMA ni chama cha wanawake na watoo? Mbona naona wanawake na watoto tu katika video yako.

Kumbe ndio maana TCIB ilifanya utafiti kwa watoto wa darasa la saba!Jibu nimepata.
slaa.jpgshabiki.jpg
 
Back
Top Bottom