Wameona haitoshi wameanza kufunika mabango ya wapinzani, wao wakifanyiwa mchezo huu si watasema wapinzani wameanza matusi na uhuni. Hapo bango la mgombea wa CUF likiwa limefunikwa na la CCM, sijui wao ni zaidi na wana haki kuliko wengine?
Ccm=uruguay v/s paraguay...kiatu kiatu mwanzo mwisho...rafu mwaka huu tutaziona hata ambazo hazitarajiwi kama forward wa timu ya mpira wa miguu kubaki na kipa wa timu pinzani anapoamua kumkata ngwala/mtama/buti kipa huyo na anapewa red card badala ya foward kufunga bao....gemu ndo linaanza hilooo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.