PostGE2025 CCM: Rais Samia ametoa ajira 12,000 ndani ya siku 11

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
"Ndani ya siku 11 tangu Rais Samia Suluhu Hassan alipokula kiapo, ajira 12,000 zilikuwa zimeshatangazwa. Ajira 7,000 ni za walimu, na 5,000 ni kwa ajili ya wahudumu wa afya." - Kenani Kihongosi, Katibu Mwenezi CCM akizungumza na vyombo vya Habari
Your browser is not able to display this video.
 
"Ndani ya siku 11 tangu [Rais Samia Suluhu Hassan] alipokula kiapo, ajira 12,000 zilikuwa zimeshatangazwa. Ajira 7,000 ni za walimu, na 5,000 ni kwa ajili ya wahudumu wa afya." - Kenani Kihongosi, Katibu Mwenezi CCM akizungumza na vyombo vya Habari

Aongeze nyingine hizi bado chache
 
"Ndani ya siku 11 tangu [Rais Samia Suluhu Hassan] alipokula kiapo, ajira 12,000 zilikuwa zimeshatangazwa. Ajira 7,000 ni za walimu, na 5,000 ni kwa ajili ya wahudumu wa afya." - Kenani Kihongosi, Katibu Mwenezi CCM akizungumza na vyombo vya Habari
Ajira ziendane na ujira kwa waKati
Ajira za taasisi nzuri bila connection huingii

Ila


Ajira za hadhi ya chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…