Ccm: Rasimu ya katiba mpya inatakiwa itoke matoleo tatu.

Ccm: Rasimu ya katiba mpya inatakiwa itoke matoleo tatu.

PISTO LERO

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2011
Posts
2,819
Reaction score
1,455
Chama cha mapinduzi ccm kimedai kuwa rasimu ya katiba mpya inatakiwa itoke matoleo matatu na kuitaka tume ya kurekebisha katiba kujitokeza na kuwaeleza wananchi juu ya hilo.

Wanajamvi walioisona rarimu hiyo tunaomba ufafanuzi isijekuwa ni sarakasi za ccm kutaka kuiteka rasimu hiyo.
 
Itanishangaza na itakuwa ni discredit kwa Tume ikiwa kutakuwa na mabadiliko makubwa sana kwenye hii RASIMU. hii itaonyesha jinsi gani Tume haikufanya kazi yake sawasawa na kutupa kitu ambacho ni value for money.
 
Back
Top Bottom