Wimbo
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 866
- 625
Zanzibar katika mambo yake yote wanzungumzia kuhusu Zanzibar na siyoTanzania bado kuna element ya kufanya mambo yao kama Zanzibar na siyo Tanzania na viongozi wengi wanatamani muungano uendelee ili uwawezeshe kufika mahali ambapo wanataka Zanziber ifike.
Muungano huuu meshikiliwa na CCM nachelea kusema baada ya CCM muungano utapata misukosuko kwa maana wabara wengi hawazioni faida za muungano nje ya CCM msinishangae kwa kuwa mie pia ni mwanachama wa CCM tena mkeleketwa lakini polepole misingi ya CCM ya Nyerere na hali ya hivi sasa iko walakini.
Rushwa ya uchaguzi inakemewa kwenye mimbali na siko katika vitendo viongozi wanaochaguliwa si hasa viongozi bali fedha zao ndizo zinawabeba, zanzibar tuombeeni sana bara siku CCM ikidondoka hamtabaki salama.