Aisee mimi sileti habari za kubuni hapa, I'm serious kwamba nimepata habari kutoka kwa mmoja ya watu wanaosubiri matokeo tangu asubuhi nje ya ukumbi. PCCB kama wapo wamkamate Pinda. Kuna vigogo wengine wa CCM mkoani hapa (sitawataja majina), wao pia wapo upande wa mgombea wa CHADEMA, wamemwambia usikubali kuachia kabisa! Kama huamini mtafute mtu yeyote aliyepo Sumbawanga Mjini unayedhani ni mfuatiliaji wa mambo ya siasa umpigie simu kumuulizaAcha mizengwe wewe....si Ze Utamu hii:A S angry:
Habari zilizonifikia zinasema kwamba matokeo ya ubunge Sumbawanga mjini yameshakamilika ila CCM imemleta Mizengo Pinda na sasa hivi kuna kikao kinachoendelea cha kumbembeleza mgombea wa CHADEMA asaini form nyingine kuonyesha kwamba ameshindwa. Hadi sasa mgombea huyo hajawakubalia, ila tume ya uchaguzi jimboni humo imesema itatangaza matokeo saa sita usiku, wakati yale ya urais yameshatangazwa tayari. CHADEMA makao makuu mpoo?