Pre GE2025 CCM Ruvuma yatoa pongezi kwa Viongozi waliochaguliwa kugombea Urais katika Uchaguzi ujao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma kimefanya mkutano maalum na kupongeza azimio la kuwaunga mkono viongozi walioteuliwa na chama hicho kugombea nafasi ya urais katika uchaguzi ujao.

Mkutano huo umefanyika chini ya uongozi wa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Ruvuma, Oddo Mwisho, ambae alikuwa mgeni rasmi katika mkutano huo ulifanyika katika uwanja wa Shule ya Msingi Matarawe Mjini Songea Februari 8, 2025.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Uteuzi huo umeungwa mkono kwa kauli moja na wanachama wa CCM Ruvuma, wakisisitiza dhamira yao ya kuhakikisha ushindi wa chama hicho katika uchaguzi.
 
Walichaguliwa na nani?
 
Back
Top Bottom