abdulhamis
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 1,436
- 2,296
Hili mbona watanzania wote wanajua?Habar Wana ccm
Kama mnavyojua chadema na Act walikua waneshupalia watu wafungiwe ndan wakat wa corona so hii ni fimbo nzur kwao ya kuwapiga kwenye kampen
Mnatakiwa mfanye ivi ccm
Sambazen hii propaganda hata kwa kutumia wasanii watu waelewe kua chadema na Act walitaka wawaangamize kwa kupitia corona
Na walipanga watu wakifungiwa ndani wawachochee ili wafanye vurugu
CCM mkiweza kucheza vizur na corona basi mmebutua
Na Mwamba atoe ile video ya aliyerusha bomu na kuuwa makamanda wanne Arusha kipindi nchi inaongozwa na RAIS "mwanademokrasia" JK. Achana na yule muuza magazeti aliyeuwawa na kitu chenye ncha kali pale Morogoro au Mwangosi kule Iringa au kumwagiwa tindikali kule Tabora.Ngoja na sisi tusambaze picha za waliopotea na kutekwa awamu.
Ni vizuri kuwakumbusha tu hasa wakati wa kampeni.Hili mbona watanzania wote wanajua?
It will be a waste of time to tell people the obvious.
Corona bado ipo watu wanafia majumbani Hosptal ndogo ndogo na hata kubwa lakini wanaogopa kusema ni coronaMungu amlinde john magufuli
Huko shuleni wataambukizana na walimu shule zitakuja kufungwa tena kama koreaDuuuh!!Kweli nampongeza Mh. Rais kwa kuambua shule zifunguliwe,maana wajukuu na watoto ni full usumbufu majumbani,mitaani na mitandaoni.