Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
CCM haijajikita kuijenga Tanzania bali imejikita kujijenga japo imeishiwa mbinu, CCM inadhani kuteuana kwenye safu ya uongozi ndiyo kukijenga chama! Inasahau humo kwenye safu yamo pia manyangarakasha yanayotumia kuvaa sare inayompendeza ndiyo kuiva kiuongozi.wanashambuliana kwa zamu na huu umekuwa kama utaratibu wao. Kina Bushiri na mzee polepole walifanya hivyo hivyo kuwasurubu wazee wastaafu wa chama, kina nape nk Sasa leo imemgeukia mzee Bushiru na yeye anashambuliwa kila kona.
Kifupi tu watanzania ni kwamba chama kama hiki je unategemea kuna maendeleo kweli?
CCM kila mtu anajiona ni kiongozi na ameiva kisiasa hivyo atakachoongea kinafaa kusikilizwa.CCM ni mumiani.