CHADEMA ndiyo Chama cha kwanza Tanzania kuruhusu kufanya vikao vyake kwa kutumia mitandao ya kijamii. Vikao kadhaa vya Kamati Kuu ya CHADEMA vimeshawahi kufanyikia mtandaoni.
Wakati wote huo CCM walikuwa wanaponda matumizi ya mitandao kwenye kufanya siasa. Leo CCM kimetokea nini hadi watumie mitandao ya kijamii kufanyia mkutano wao?