a.k.a Pumzi imekata. Unajua walijiaminisha sana kwamba mzee anapendwa, lakini hali halisi FIELD ikaonesha upepo sio kabisaMaji yashazidi unga sheikh.
Na wote tuseme,,,,,,,,Amen.Mungu alijalie taifa letu uchaguzi uwe huru na wa haki
Yule mkuu wa mkoa wa Dar aliyepita alikuwa anasema katika mkoa wake hataruhusu mheshimiwa rais apige kampeni ni kumchosha,,,,,,,,a.k.a Pumzi imekata. Unajua walijiaminisha sana kwamba mzee anapendwa, lakini hali halisi FIELD ikaonesha upepo sio kabisa
Macho na masikio ni kwa JEMBE kwanza. Makamu wa Rais na PM wabomoa kambi za upinzani mikoani kimya kimya, kule Tarime, Bunda na Rolya upinzani hali mbaya, PM anamaliza kazi kimya kimyaMakamu wa rais na waziri mkuu hawasikiki kabisa.
🤣 🤣 🤣 alimpeleka chaka sana. Unajua bhana, angekuwa kawaacha wananchi wapige mikutano ya hadhara, wajumuike, wajimwage kwenye magazeti nk, leo tunsingekuwa na la kukosoa kwa sababu kila kitu tungekuwa tushaongea. Kwa sasa ni free ride, kila mtu anaongea analojisikiaYule mkuu wa mkoa wa Dar aliyepita alikuwa anasema katika mkoa wake hataruhusu mheshimiwa rais apige kampeni ni kumchosha,,,,,,,,
Alifanya kosa kubwa sana la kiufundi kuzuia mikutano ya kisiasa🤣 🤣 🤣 alimpeleka chaka sana. Unajua bhana, angekuwa kawaacha wananchi wapige mikutano ya hadhara, wajumuike, wajimwage kwenye magazeti nk, leo tunsingekuwa na la kukosoa kwa sababu kila kitu tungekuwa tushaongea. Kwa sasa ni free ride, kila mtu anaongea analojisikia