Uchaguzi 2020 CCM si tulisema Magu hahitaji kampeni 2020? Chopa ya nini?

Mungu alijalie taifa letu uchaguzi uwe huru na wa haki
Suala la haki na huru siyo la kuomba tena. Ndiyo maana chopa imekodiwa uwezekana na kutenda yale ya Serikali za Mitaa hayapo tena. Mwamuzi ni sanduku tu.
 
'Kazi zaidi kasi zaidi' tutapona kweli kama awamu ya kwanza ndio ilikuwa kali hivyo?
 
Ch
Chopa ya kushindilia ushindi. Lissu hawezi kuwa Rais full stop 🛑
 
Makamu wa rais na waziri mkuu hawasikiki kabisa.
Yaani Devota Minja na Mkosamali wanakusanya watu kuliko Makamu wa Rais na Waziri Mkuu .... halafu bado kuna watu wanadai CCM inashambulia kutoka kila upande.
 
Alifanya kosa kubwa sana la kiufundi kuzuia mikutano ya kisiasa
Hili Jambo ccm ndo wameloose zaidi tuliwaonya awakusikia walidhani kumiliki dola ndiko kumiliki akili za watu.
Hata Nyerere kwa zama hizi asingeweza tawala
 
Unadhani CCM ni kama saccos yako iliyo mfukoni mwa mtu mmoja. CCM ni system.Upatikanaji wa maji, kipindi cha JPM umeboreka zaidi kuliko awamu yoyote ya ccm.
Tembea uone vijijini au sababu unakunywa maji ya chupa
 
a.k.a Pumzi imekata. Unajua walijiaminisha sana kwamba mzee anapendwa, lakini hali halisi FIELD ikaonesha upepo sio kabisa
Walimfeed uongo yaani habari azipendazo ili wampige pesa,hapa bado kusini wanataka majibu ya korosho zao alizichukua kibabe kakaa nazo miaka 3 eti anawarudishia eti zimesinyaa,si angewaachia wakauze hata msumbiji.
Ujuaji mwingi kaburi.
 
Halafu mleta lichadema kutwa linajifanya CCM ujue unaehuka wahi hospital ya vichaa mirembe una kichaa huo ugonjwa kitaalamu mwenye ukichaa huo anakuwa na duo personality
 
Walimfeed uongo yaani habari azipendazo ili wampige pesa,hapa bado kusini wanataka majibu ya korosho zao alizichukua kibabe kakaa nazo miaka 3 eti anawarudishia eti zimesinyaa,si angewaachia wakauze hata msumbiji.
Ujuaji mwingi kaburi.
Na kama haitoshi, kwenye korosho kamtuma Samiah Suluhu, yeye kakwepa.
 
Unadhani CCM ni kama saccos yako iliyo mfukoni mwa mtu mmoja. CCM ni system.Upatikanaji wa maji, kipindi cha JPM umeboreka zaidi kuliko awamu yoyote ya ccm.
Ccm mnapigwa mbele nyuma tuliwaambia msizuie mikutano ya siasa,baada ya kusikia yenu 5 yrs mkitamba hamna jipya zaidi ya sgr,ndege, flyover,huku wapinzani wakitema cheche
 
Sio chopa tu wanahitaji marais wa nchi jirani waje kumsaidia magu la sivyo mwaka huu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…