Mwanantogakulya
Senior Member
- Mar 18, 2025
- 157
- 155
CHADEMA WANAANGAIKA KUFUKUZANA KWA WALE WENYE MSIMAMO TOFAUTI NA MWENYEKITIKatibu wa CCM mkoa wa Simiyu, Eva Michael Degeleki amezindua zoezi la ugawaji wa kadi za kielektroniki mkoani humo.
Uzinduzi huo umefanyika leo April 4,2025 katika,Tawi la Old Maswa lililopo katika Kata ya Nyakabindi,Wilaya ya Bariadi.
Shughuli hiyo imehudhuliwa na wanachama wa chama hicho,viongozi wa ngazi ya mkoa na wilaya.
Kazi na Utu: Tunasonga Mbele!
Lumen Ngunda,
Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Mkoa wa Simiyu.
06/04/2025.
View attachment 3295044View attachment 3295045
Umelazimishwa? Utaki unaacha, kujiunga na chama ni hiyari ya mtu binafsiJe ambao hatuzitaki tufanyeje namana ni kero
Wananchi wanamiliki kadi za ccm Kwa masilahi Yao ya huduma binafsi serikalini, unakuta ana kadi lakini damuni ni CDMKatibu wa CCM mkoa wa Simiyu, Eva Michael Degeleki amezindua zoezi la ugawaji wa kadi za kielektroniki mkoani humo.
Uzinduzi huo umefanyika leo April 6,2025 katika,Tawi la Old Maswa lililopo katika Kata ya Nyakabindi,Wilaya ya Bariadi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Shughuli hiyo imehudhuliwa na wanachama wa chama hicho,viongozi wa ngazi ya mkoa na wilaya.
Kazi na Utu: Tunasonga Mbele!
Lumen Ngunda,
Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Mkoa wa Simiyu.
06/04/2025.
View attachment 3295044View attachment 3295045
Ni mtazamo wakoWananchi wanamiliki kadi za ccm Kwa masilahi Yao ya huduma binafsi serikalini, unakuta ana kadi lakini damuni ni CDM
Baniani mbaya kiatu chake dawaWananchi wanamiliki kadi za ccm Kwa masilahi Yao ya huduma binafsi serikalini, unakuta ana kadi lakini damuni ni CDM