CCM sio wa kuwasusia, ni wakula nao sahani moja , maana hawana haya wala hawajui vibaya

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,743
Reaction score
6,240
Ogopa ku deal na watu wasio na aibu, hawa watu hawana ustaarabu na hawawezi kujisikia mshipa wa aibu.

Kama kulikua na madudu ya kupita bila kupingwa, kura ziliokotwa kama karanga kule kawe, wataona aibu mkisusa?

Hapa wahuni wengi wanafurahia mana hawana upinzani na watapita bila kupingwa . Kutokana na hamasa ya wananchi, naamini CHADEMA wangepambana., wabunge muhimu wangerudi, wangeweza kukiwasha bungeni na wananchi wangesikia, huku wakiweka target ya 2030.

ASOHAYA HASUSIWI.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…