johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wengi walishangaa Shujaa Magufuli kuwavalisha Kofia za CCM Diamond na Kiba
Wengine wakashangaa Mpendwa Wetu Mh Rais Samia kuhudhuria Birthday party ya Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa mh Joseph Mbilinyi aka Sugu
Aidha walishangaa CCM kuwaandalia BAWACHA mkutano Mkuu pale mkoani Kilimanjaro na Mgeni Rasmi akawa mwenyekiti wa CCM Mpendwa Wetu Mh Rais Samia aliyeambatana na Freeman Mbowe na J J Mnyika
Jana wengine wameshangaa Simba SC kuwa Wasemaji wa CCM pale kwenye sikukuu ya UVCCM
Kiukweli CCM ni chama Kikubwa sana kinachomiliki vyote
Nawatakia Dominica Njema 😄