johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ni Chama kikubwa sana πCCM wanamiliki mpaka madhehebu na viongozi wa dini.
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala. CCM ni kama bokoharam tu.Wengi walishangaa Shujaa Magufuli kuwavalisha Kofia za CCM Diamond na Kiba
Wengine wakashangaa Mpendwa Wetu Mh Rais Samia kuhudhuria Birthday party ya Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa mh Joseph Mbilinyi aka Sugu
Jana wengine wameshangaa Simba SC kuwa Wasemaji wa CCM pale kwenye sikukuu ya UVCCM
Kiukweli CCM ni chama Kikubwa sana kinachomiliki vyote
Nawatakia Dominica Njema π
Huo ni ukweli usiopingika.Wengi walishangaa Shujaa Magufuli kuwavalisha Kofia za CCM Diamond na Kiba
Wengine wakashangaa Mpendwa Wetu Mh Rais Samia kuhudhuria Birthday party ya Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa mh Joseph Mbilinyi aka Sugu
Jana wengine wameshangaa Simba SC kuwa Wasemaji wa CCM pale kwenye sikukuu ya UVCCM
Kiukweli CCM ni chama Kikubwa sana kinachomiliki vyote
Nawatakia Dominica Njema π
Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani alitumwa na mwenyekiti wa CCM apeleke mchango kanisani.Ni Chama kikubwa sana π
Amen.Kiukweli CCM ni chama Kikubwa sana kinachomiliki vyote
Nawatakia Dominica Njema π