Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,611
- Thread starter
-
- #21
Mkuu, penye #Ubovu ndipo pana fursa ya ushindi, wenzio wakiwa wabovu wewe una nafasi kubwa ya ushindi, huwezi kushinda kama wenzio ni imara. Hivyo tusitegemeee hata siku moja #Ubovu kumalizika.Hili limekuwa kosa la viongozi wetu wengi. Wakiwa na madaraka hawayaoni mapungufu hasa ya katiba. Lakini once wanapotoka/kutolewa ndiyo huja na "KATIBA MBOVU". Na kulalamika
Nyerere alilalamikia ubovu huo , lakini ni baada ya kutoka madarakani. The same na Warioba, Lowassa, Sumaye, Polepole etc .
Polepole alikuwa na nafasi ya kuishauri serikali na Maghufuli juu ya ubovu wa katiba na ueñdeshaji wa serikali kwa ujumla wake. Leo nani atamuelewa wakati ubovu/uhuni huo ni masilahi kwa waliopo
Hili limekuwa kosa la viongozi wetu wengi. Wakiwa na madaraka hawayaoni mapungufu hasa ya katiba. Lakini once wanapotoka/kutolewa ndiyo huja na "KATIBA MBOVU". Na kulalamika
Nyerere alilalamikia ubovu huo , lakini ni baada ya kutoka madarakani. The same na Warioba, Lowassa, Sumaye, Polepole etc .
Polepole alikuwa na nafasi ya kuishauri serikali na Maghufuli juu ya ubovu wa katiba na ueñdeshaji wa serikali kwa ujumla wake. Leo nani atamuelewa wakati ubovu/uhuni huo ni masilahi kwa waliopo
Kwani Polepole angeamua kukaa kimya kama Bashiru Ally kingetokea nini? Au ukimya wa Bashiru Polepole anauchukulia kama ni kuungana na hao anaowachagiza?Kabla ya vikao kuketi kuwajadili mafahari wawili hawa, nashauri mtu neutral ajaribu kuwapatanisha na mimi nampendekeza Mhe. Spika au Mhe. Naibu Spika.
Kuna watu hawawezi kukaa kimya. Nature can not be created again.Kwani Polepole angeamua kukaa kimya kama Bashiru Ally kingetokea nini? Au ukimya wa Bashiru Polepole anauchukulia kama ni kuungana na hao anaowachagiza?
Wapi ?Hahahaha mtajuana wenyewe huko
Polepole kasema wale wenye tabia za kihuni waache iwe mdani ya chama au serikalini au popote pale katika nchi hiiIli kuepuka mitandao na makundi maslahi ndani ya CCM kuvuruga ustawi wa chama na ili kutorudia makosa ya 2015 yaliyokipasua chama, ninashauri CCM imuue nyani bila kumuangalia usoni, ninamaanisha wote Nape na Polepole ni "madegenyanga" wachukuliwe hatua sawia ili ku-harmonize hali hii inayotishia mpasuko katika kipindi cha majaribu ya chama na kutoa funzo kwa wengine wenye tabia na nia kama zao. Ikumbukwe kwa CCM maandalizi ya uchaguzi mkuu mwingine yanaanza pale ambapo uchaguzi mkuu uliopita ulikoishia. Bila kujali Nape ana mizizi mirefu ya kihistoria kwenye chama kumzidi Polepole ambaye ni mtoto wa mkulima wa mihogo Tanga, vikao vifanye kazi ya msumemo ya kukata mbele na nyuma kwasababu wote wawili wana mtaji wa wanachama/wafuasi. Mwenye masikio na asikie, mwenye macho na aone, asomaye na afahamu.
View attachment 2045768View attachment 2045769
Taswira zote kwa hisani ya google.
Na hawa wa leo wanaodhani wana upper hand wakitoka ndiyo utasikia katiba ni mbovu...Watanzania tukatse huu ujinga, nchi hii ni yetu sote ikisambaratika hatuna kwetu kwingine....Kauli ya kusema ina wenyewe ni mbaya kuliko covid22 na huyu mwenzetu wa veete naye atumie akili ya kufikiria wakiendeleza ubabe nani atalipa gharama? Wao au nchi na raia wasio na hatia?Hili limekuwa kosa la viongozi wetu wengi. Wakiwa na madaraka hawayaoni mapungufu hasa ya katiba. Lakini once wanapotoka/kutolewa ndiyo huja na "KATIBA MBOVU". Na kulalamika
Nyerere alilalamikia ubovu huo , lakini ni baada ya kutoka madarakani. The same na Warioba, Lowassa, Sumaye, Polepole etc .
Polepole alikuwa na nafasi ya kuishauri serikali na Maghufuli juu ya ubovu wa katiba na ueñdeshaji wa serikali kwa ujumla wake. Leo nani atamuelewa wakati ubovu/uhuni huo ni masilahi kwa waliopo
Tatizo Polepole analiishi Agano la Kale katika Agano Jipya, yaani anatumia cheo/dhamana (vya) zamani kwa wakati huu usio wake.Polepole kasema wale wenye tabia za kihuni waache iwe mdani ya chama au serikalini au popote pale katika nchi hii
Na hajataja mtu sasa wale wanaoibuka ndo wahuni wenyewe wameguswa na mioyonyao inawauma wakajitokeza.
Lakini kama unajua huna dhambi au hutarajii kutenda dhambi, hizo kauli za polepole hazitakusunbua hata siku moja.
Ukiona mtu anahangaika na polepole basi ujue kuna sehemu anaguswa au anategemea kukosea hivyo anatafuta kujilinda.
Kikwete aliwahi kusema CCM kuna mafisi mbona hawakujitokeza kumjibu?
Sijui ni lini CCM itaacha kuwa jumba bovu linalotishiwatishiwa na mipasuko? Kuna mazingira ndani yake yanayotengeneza hali hii. Ni lini kutakuwa na dhamira ya kuondoa mazingira hayo?Na hawa wa leo wanaodhani wana upper hand wakitoka ndiyo utasikia katiba ni mbovu...Watanzania tukatse huu ujinga, nchi hii ni yetu sote ikisambaratika hatuna kwetu kwingine....Kauli ya kusema ina wenyewe ni mbaya kuliko covid22 na huyu mwenzetu wa veete naye atumie akili ya kufikiria wakiendeleza ubabe nani atalipa gharama? Wao au nchi na raia wasio na hatia?
I have my veto though; hakuna fisadi atakanyaga nyumba yetu takatifu na akifanikiwa hata kama muda mrefu....
Buzi la kafara halikosekanagi lakini, ila mimi nakishauri chama kiwakafarishe wote wawili au kiwasamehe wote. Hakuna Myahudi wala Myunani hapo.Hilo la kwao wamlizane tu hamna namna.........