CCM Sokoine Stadium Mbeya katika ubora wao

Mwanongwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2023
Posts
611
Reaction score
567
Usije ukahisi labda uko Kwenye daladala za Mbagala la hasha,hapa ni Sokoine stadium Mbeya.

Ccm mkoa wa Mbeya ndiyo vinini Sasa hivi mlivyotuwekea Sasa hapa .mnatuaibisha Wanyakyusa.

Usije ukahisi labda uko Kwenye daladala za Mbagala la hasha,hapa ni Sokoine stadium Mbeya.

Ccm mkoa wa Mbeya ndiyo vinini Sasa hivi mlivyotuwekea Sasa hapa .mnatuaibisha Wanyakyusa.
Viti vya HIACE vimepata matumizi mbadala, what's wrong with that au ulitaka vitupwe. Haya ni matumizi mazuri ya malighafi za ndani, akina mwaisa mmejiongeza mko juu.
Malafyale.
 
Usije ukahisi labda uko Kwenye daladala za Mbagala la hasha,hapa ni Sokoine stadium Mbeya.

Ccm mkoa wa Mbeya ndiyo vinini Sasa hivi mlivyotuwekea Sasa hapa .mnatuaibisha Wanyakyusa.
Itakuwa wameving'oa kwenye coaster iliyopata ajali au wameviazima kutoka kwenye hiace za soko Matola
 
Umezinduka baada ya kuzimia kijili kujifunga๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Na kesho hapo mkilegeza miguu hiyo mnadondosha point nyingine tena
Acha basi...๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š
Kesho tukidondosha point..ndo hutaniona tena jukwaa la sport
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ