CCM: Taarifa Kuhusu ROYAL TOUR 2022

Kidumu chama Cha mapinduzi. Kule ufipa wanadoda na tour Yao na DJ.....
 
Mnajitahidi kuitangaza lakini wapi watu wameisusa, rudini nme mhangaike matatizo halisi ya watz
 
ingawaje ccm ni chama dola, lakini Tanzania ni nchi yetu sote.
itikadi zetu za kivyama zisitufanye tutengeneze matabaka
 
Sawa nyie zindueni filamu yenu ila sisi tumeamka tunaenda kupambana na hali mlizotuachia huku.

Kila kitu ghali na hakuna namna ya kupata unafuu.
 
Nasubiria report ya CAG itakayotoka 2024, ikielezea ufisadi wa manaiti allowance ya hii tour, against makusanyo yatakayotokana na utalii Kwa miaka miwili mfulululizo, tutajutaaah!
 
Watanzania (wengi) hawaelewi kabisa kuhusu Utalii, Watalii wanaotaka kuangalia Wanyama ni wachache sana, >85% ya Watalii wanataka kwenda beach kuondoa stress na labda old historical towns!

Dar old Historical Town Uraisi wa Kikwete ulibomoa karibia majengo yote ya zamani ambayo yangeweza kuvutia watalii, jengo kama la Salamander Samora wamebomoa wakawapa GSM, sasa Mtalii atakuja kuangalia gsm ?

 
German architecture! Vigae miaka 100, hard wood za ukweli
 
×BOMOA×
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…