Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Wanasema jamaa ni miongoni mwa mabilionea wapya kwa sasa.Polepole kakiua Chama kwa tamaa za kijinga huwezi kumnunua Waitara kwa Milioni 600 halafu mkazigawana
HakikaMungu kashuka Tanzania. Ukimona LISSU ujuwe sauti ya Mungu inaongea.
😆😆😆Walikuwa wapi tangu 1961?
Na wanachama wa NSSF wameapa tarehe 28 wanajambo lao.Siku ya mwisho kila goti litapigwa .
Karibuni tabora!Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana ! hatimaye amejibu kikamilifu maombi ya Watanzania baada ya kuwaamsha Wazee wa Tabora waliokuwa kwenye usingizi wa pono , ambao sasa wameapa kuiteketeza kabisa ccm bila huruma kwa kukataa hongo ya matibabu ya bure iliyoletwa kwa lengo la kuwarubuni ili waichague tena ccm , chama kilichoshindwa kwa miaka 60 kuboresha maisha ya Wananchi .
Ushahidi huu hapa .
View attachment 1602089
Nadhani ndio wale Mabilionea wa Magufuli aliokuwa akituambia badala ya Mabilionea kila Wilaya sasa imekuwa ni Polepole na Makonda wakati Taifa zima limekumbwa na UfukaraWanasema jamaa ni miongoni mwa mabilionea wapya kwa sasa
aiseehh wata tu Mkuu walituona mazwazwa ila sasa ....Walikuwa wapi tangu 1961?
Tukutane pale Oksijeni Mkuu Tabora mmetisha....Karibuni tabora!
Baada ya kuzungumza na wananchi tunaweza kujumuika pamoja Hapa Whatsapp tupige bia mbili tatu, uchaguzi huu chadema imeshamaliza kazi, john hana pumzi tena, amebaki kubuni mbinu bora za kuchakachua matokeo ili apore ushindi kama alivyopora wa lowassa 2015
Tutaona kila rangi[emoji3090][emoji3090][emoji3090][emoji3090][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji617][emoji617][emoji617][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777]Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana ! hatimaye amejibu kikamilifu maombi ya Watanzania baada ya kuwaamsha Wazee wa Tabora waliokuwa kwenye usingizi wa pono , ambao sasa wameapa kuiteketeza kabisa ccm bila huruma kwa kukataa hongo ya matibabu ya bure iliyoletwa kwa lengo la kuwarubuni ili waichague tena ccm , chama kilichoshindwa kwa miaka 60 kuboresha maisha ya Wananchi .
Ushahidi huu hapa .
View attachment 1602089
Sisi tutaendelea kuwaletea uhondo kila tunavyobarikiwaTutaona kila rangi[emoji3090][emoji3090][emoji3090][emoji3090][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji617][emoji617][emoji617][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777]
Usijali mkuu, viwanja ni hivi hivi, nafurahi kuona watanzania wana muamko wa haki!Tukutane pale Oksijeni Mkuu Tabora mmetisha....
Acha mambo yako wewe Mungu kashuka Tanzania kwa kutuepusha na COVID 19 na hii inatokana na kuongozwa na Kiongozi mwenye hofu ya Mungu na mcha Mungu na si mwingine ni Mzalendo wa kweli JPM.Mungu kashuka Tanzania ...ukimona LISSU ujuwe sauti ya Mungu inaongea....
Eee bhana mkuu hii ofa imenukuliwa dunia nzima ujue !Usijali mkuu, viwanja ni hivi hivi, nafurahi kuona watanzania wana muamko wa haki!
Ofa ya bia kreti moja kwa mwanaJF yeyote mpenda haki aliyepo Tabora mjini
Mbona hata mkutano wenu hapo tabora pia haukua ma amsha amsha kama kungine?Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana ! hatimaye amejibu kikamilifu maombi ya Watanzania baada ya kuwaamsha Wazee wa Tabora waliokuwa kwenye usingizi wa pono , ambao sasa wameapa kuiteketeza kabisa ccm bila huruma kwa kukataa hongo ya matibabu ya bure iliyoletwa kwa lengo la kuwarubuni ili waichague tena ccm , chama kilichoshindwa kwa miaka 60 kuboresha maisha ya Wananchi .
Ushahidi huu hapa .
View attachment 1602089
Hapo kwenye NSSF fao la kujitoa niko na wafanyakazi Wenzangu nao wanaisubiri kwa hamu trh 28.10..tuna jambo letuNa wanachama wa NSSF wameapa tarehe 28 wanajambo lao....