Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Sawa na taasisi ya dini kumiliki shule, hospital na biashara zingineEti chama cha siasa kinamiliki viwanja vya mpira. Hii nchi tunacheleweshwa sana.
Tofauti ni kuwa taasisi za dini zinakuwa zimejenga zenyewe hizo shule na hospitaliSawa na taasisi ya dini kumiliki shule, hospital na biashara zingine
CCM ilijenga yenyewe hivyo viwanjaTofauti ni kuwa taasisi za dini zinakuwa zimejenga zenyewe hizo shule na hospitali
kwamba hufahamu karibu mikoa yote ccm anamiliki viwanja vya michezoEti chama cha siasa kinamiliki viwanja vya mpira. Hii nchi tunacheleweshwa sana.
Nafahamu hilo ila bado linanishangazakwamba hufahamu karibu mikoa yote ccm anamiliki viwanja vya michezo
kama hujui hili basi na wewe ni sehemu ya ccm kutumia kutuchelewesha
Sawa. Nashukuru kwa taarifaCCM ilijenga yenyewe hivyo viwanja
hii nchi ina usenge mwingiNafahamu hilo ila bado linanishangaza
CCM ilijenga hivyo viwanja kama chama,ni sawa leo zitto na kitila hawapo chadema waje kudai vyote walivyishiriki kujenga chademahii nchi ina usenge mwingi