CCM Temeke ndani ya Kashfa nzito


Walianza na benki ya wanawake wakagawana hela bila collateral, they literally chewed a whole institution to the ground, hii ya halmashauri waligawana billion 42, 65% ya hiyo hawajarejesha. Panya wa CCM hawana jinsia, wanatafuna hadi magunzi
 
Tupe takwimu zilizo nyoka ili tusemezane vizuri na wanachukua chako mapema.
 
99% ya wanasiasa ni majizi ya kutupwa, sasa huyu ndio umuweke kwenye kitengo cha maana, ndio hawa wanakuwa mabilionea baada ya miaka mi5
 
Hivi kuna mtu amekaa kwa akili yake timamu anaamini ccm na viongozi wake wapo kwaajili ya wananchi?atakua hana akili..ccm na viongozi wake ni genge la wezi..lilijificha kwenye siasa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hakuna ambae sio jambazi ccm,wote majambawazi
 
Well kama ipo ndani ya urefu wa kamba yake hakuna neno.
 
CCM na wizi ni samaki na maji, hakuna cha kushangaa hapo
 
Haya sasa kuchafuana kumeanza
 
Hii inchi upigaji kila kona mtu akipata upenyo kidogo ana kata mpk kamba
 
Hiyo mikopo ni Siasa ..Idara ya Maendeleo ya Jamii ,itasimamiaje Mikopo ilhalinkuna Maafisa Biashara...wanaobahaatika kupya Hiyo Mikopo ni lazima wawe Wana mafungamano na CCM!
Vikundi vingine ni vikundi hewa vya Wanasiasa!
Hilo limeenea nchi nzima!
 
Wameumbuka

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Ina maana hiyo mikopo inatolewa kiitikadi, Lol Tanzania yangu
 
Hizo hela huwa Zinatolewa WAJANJA WALEE hakunaga cha maana... kuanzia upatikanaji wake mpaka matumizi ni janja janja
 
Kwa kifupi mikopo hiyo haipo kwa ajili ya kuwanufaisha watanzania wote bali inawanufaisha wanaccm pekee na wanapeana kwa kujuana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…