LGE2024 CCM teueni vizuri Wagombea wa uchaguzi wa Serikali za mitaa tusiwadharau sana CHADEMA kwani wanatembelea huruma ya Mungu!

LGE2024 CCM teueni vizuri Wagombea wa uchaguzi wa Serikali za mitaa tusiwadharau sana CHADEMA kwani wanatembelea huruma ya Mungu!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Ni ushauri tu Kwa wale mlioko Kwenye nafasi za uteuzi

Msiendekeze undugu na urafiki

Mtanishukuru baada ya Uchaguzi

Nawatakia Dominica Njema 😄
Nyie mnatembelea huruma ya polisi, Jeiwii, Tisi, utekaji, uuaji, upotezaji and the like! Uko sahihi kabisa!
 
Hekima itawale katika uteuzi.

Ni rahisi kwa mwanasisiemu kutangazwa mshindi kuliko kwa mwanachadema kukubaliana na matokeo.

Kwa nguvu ya Mungu lolote linawezekana.
 
Nyie mnatembelea huruma ya polisi, Jeiwii, Tisi, utekaji, uuaji, upotezaji and the like! Uko sahihi kabisa!
😂😂😂😂😂

Nakutakia Dominica Njema 🌹
 
nimejaribu kuwauliza maswali ( KAMA KUWAPIMA UTIMAMU WA AKILI) baadhi ya mawakala wa chadema kwa majibu wanayotoa sitoshanga wagombea wao wasipojua kusoma na kuandika
 
Shida ni kwamba CHADEMA hawana watu wanaojiandikisha kupiga kura na atakayepiga kura ni yule aliyejiandikisha tu. Kimsingi maeneo mengi wanajiandikisha wakereketwa wa CCM ni rahisi kujua mshindi hata kabla ya kupiga kura
 
Wewe umesha jiandikisha ndugu?
 
CCM inatumia nguvu kubwa kuiaminisha dunia CHADEMA itatoa upinzani kwenye uchaguzi.

Watanzania wameshashtuka uchaguzi ni geresha. Na kama mnaamini mpinzani ni CHADEMA basi endeleeni kuamini hivyo hivyo.
 
jamaa wameshindwa hata kutoa huduma ya chakula cha mchana kwa mawakala wao imenishangaza sana kwa kweli,
wakala moja ananambia katibu wao kawambia wale chakula kisichozidi elfu tatu kwa pesa yao kisha watarejeshewa kwani pesa hajazipokea hadi kufikia sasa
Ruzuku wanakodi Chopa ya kupanda Watu Wawili tu Mbowe na Mrema 😄😄
 
Shida ni kwamba CHADEMA hawana watu wanaojiandikisha kupiga kura na atakayepiga kura ni yule aliyejiandikisha tu. Kimsingi maeneo mengi wanajiandikisha wakereketwa wa CCM ni rahisi kujua mshindi hata kabla ya kupiga kura
Chadema wanakunywa Visungura tu 😂
 
Back
Top Bottom