johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nyie mnatembelea huruma ya polisi, Jeiwii, Tisi, utekaji, uuaji, upotezaji and the like! Uko sahihi kabisa!Ni ushauri tu Kwa wale mlioko Kwenye nafasi za uteuzi
Msiendekeze undugu na urafiki
Mtanishukuru baada ya Uchaguzi
Nawatakia Dominica Njema π
πππππNyie mnatembelea huruma ya polisi, Jeiwii, Tisi, utekaji, uuaji, upotezaji and the like! Uko sahihi kabisa!
Nadhani ACT Wazalendo watashika Namba 2nimejaribu kuwauliza maswali ( KAMA KUWAPIMA UTIMAMU WA AKILI) baadhi ya mawakala wa chadema kwa majibu wanayotoa sitoshanga wagombea wao wasipojua kusoma na kuandika
Jo kwani weye watembelea huruma ya shetani?Ni ushauri tu Kwa wale mlioko Kwenye nafasi za uteuzi
Msiendekeze undugu na urafiki
Mtanishukuru baada ya Uchaguzi
Nawatakia Dominica Njema π
jamaa wameshindwa hata kutoa huduma ya chakula cha mchana kwa mawakala wao imenishangaza sana kwa kweli,Nadhani ACT Wazalendo watashika Namba 2
Wewe umesha jiandikisha ndugu?Shida ni kwamba CHADEMA hawana watu wanaojiandikisha kupiga kura na atakayepiga kura ni yule aliyejiandikisha tu. Kimsingi maeneo mengi wanajiandikisha wakereketwa wa CCM ni rahisi kujua mshindi hata kabla ya kupiga kura
Mimi natembelea Neema ya Mungu wa mbinguni ππΉJo kwani weye watembelea huruma ya shetani?
Ruzuku wanakodi Chopa ya kupanda Watu Wawili tu Mbowe na Mrema ππjamaa wameshindwa hata kutoa huduma ya chakula cha mchana kwa mawakala wao imenishangaza sana kwa kweli,
wakala moja ananambia katibu wao kawambia wale chakula kisichozidi elfu tatu kwa pesa yao kisha watarejeshewa kwani pesa hajazipokea hadi kufikia sasa
Chadema wanakunywa Visungura tu πShida ni kwamba CHADEMA hawana watu wanaojiandikisha kupiga kura na atakayepiga kura ni yule aliyejiandikisha tu. Kimsingi maeneo mengi wanajiandikisha wakereketwa wa CCM ni rahisi kujua mshindi hata kabla ya kupiga kura
namna hiyo wanategemea dola washike, mawazo yao wanafikiri watanzania ni wajinga wasio weza kutizama mfumo wao wa kujisimamia na kuwapimaRuzuku wanakodi Chopa ya kupanda Watu Wawili tu Mbowe na Mrema ππ
CCM bila mbeleko ya Majeshi, NEC,Mahakama na vyombo vingine vya dola ni wepesi kama unyoya.Ni ushauri tu Kwa wale mlioko Kwenye nafasi za uteuzi
Msiendekeze undugu na urafiki
Mtanishukuru baada ya Uchaguzi
Nawatakia Dominica Njema π
Utawapimaje akili wakati wewe mwenyewe huna akili zote umemkabidhi Makalla umebakishiwa za kuvukia barabara na kwendea chooni tu.nimejaribu kuwauliza maswali ( KAMA KUWAPIMA UTIMAMU WA AKILI) baadhi ya mawakala wa chadema kwa majibu wanayotoa sitoshanga wagombea wao wasipojua kusoma na kuandika
Umeshameza dawa zako tayari?Ni ushauri tu Kwa wale mlioko Kwenye nafasi za uteuzi
Msiendekeze undugu na urafiki
Mtanishukuru baada ya Uchaguzi
Nawatakia Dominica Njema π