Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
CCM lazima waiue haraka snHuu mradi muda tu utaongea
Ova
Mara wachungaji, mara wasanii, mara uvccm, je wanalipa gharama stahiki au wanajiendea, hawana mentality ya biashara, ndio maana mradi utakufa mapema waache siasa sgr haitaki siasa za rejareja kiasi hicho,Huu mradi muda tu utaongea
Ova
😄 umekuwa wa maoneshoo makik tu hao wote wanapanda bure 😄Mara wachungaji, mara wasanii, mara uvccm, je wanalipa gharama stahiki au wanajiendea, hawana mentality ya biashara, ndio maana mradi utakufa mapema waache siasa sgr haitaki siasa za rejareja kiasi hicho,
Hawa wote hawalipi nauli kwani wanaamini huo mradi ni mali ya mama Samia na CCM hivyo wanashereshwa kama watoto wa chekechea!Mara wachungaji, mara wasanii, mara uvccm, je wanalipa gharama stahiki au wanajiendea, hawana mentality ya biashara, ndio maana mradi utakufa mapema waache siasa sgr haitaki siasa za rejareja kiasi hicho,
Inasikitisha sanaHawa wote hawalipi nauli kwani wanaamini huo mradi ni mali ya mama Samia na CCM hivyo wanashereshwa kama watoto wa chekechea!
Wamezoea kuua sasa kila kipya wanataka wawe wakwanza kukiua., mama kaupiga mwingi.Inasikitisha sana