CCM tukubali kuwa Chadema wako mbele Sana kidigitali

Cathelin

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
2,071
Reaction score
3,995
Wakuu chama chetu Cha CCM ndo kulikuwa chama Cha kwanza kuzindua Mambo ya CCM digital.

Walikuja na App ya CCM kwenye play store, ili wanachama wajisajiri kidigitali. Ukweli CCM hatujafanya vizuri kwenye hili. Hata mitandaoni Mfano Tweeter, JF ni kama Chadema wameiweka hiyo Mitandao mfukoni.

Sasa Chadema walikuja na Chadema Degital, ukweli wamefanya vizur Sana, especially kwenye kusajiri wanachama katika mfumo wa kidigitali, Katibu mkuu wao wa Bawacha, Catherine Rugge, yupo vizuri kwenye organization hii.

CCM na Chadema vitabaki vyama vikubwa vya siasa, hivyo kwa CCM igeni mazuri ya Chadema, na nyinyi Chadema igenii mazuri ya CCM.

Maendeleoa hayana chama.

 
Kila kitabu na zama zake huez linganisha Motorola c36 na iPhone 13 ingawa zote unaweza piga na kuongea 🤣🤣🤣🤣
 
Kwa Mitandao Chadema wame dominate ukienda Tweeter ndo basi
 
Kwa Mitandao Chadema wame dominate ukienda Tweeter ndo basi
Kila sehemu hata mitaani watu hatujioneshi tu ila mioyoniko chadema. Instrumentation ya uchaguzi ule haikuwa kwa bahati mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…