Pre GE2025 CCM Tumeamua Kumpa Mitano Tena Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,

Huo ndio uamuzi kutoka katika mioyo ya mamilioni ya wafuasi, wakereketwa,mashabiki na wanachama wa CCM Nchini kwote.kuwa ni lazima tumpe Miaka mitano Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge kuliongoza Taifa letu.

Ni mitano mingine kwa sababu sote tumeona na kushuhudia juhudi zake katika kuleta maendeleo kwa Taifa letu,tumeona uchapakazi wake,tumeona umadhubuti wake katika kushughulikia kero na changamoto mbalimbali,tumeona ushupavu wake,uimara wake na uhodari wake katika kuwainua watanzania.

Tumeona namna alivyo leta Matumaini palipo kuwa na kukata tamaa,tumeona akileta nuru na mwanga palipokuwa na giza,akionyesha njia na muelekeo mahali palipokuwa na njia panda katika mioyo na akili za watu.tumeona akifungua fursa kwa watu.tumeona ndani ya muda mfupi kabisa akijenga uchumi imara , shirikishi na wenye kugusa maisha ya watu.

Tumeona Taifa likiendelea kuwa lenye amani na utulivu.tumeona namna alivyotuunganisha watanzania,tumeona namna alivyojenga kuaminiana na umoja wa kitaifa ,tumeona akileta heshima mahali palipokuwa na kudharaulika,tumeona namna mama huyu Mwenye moyo wa upendo ,huruma, ukarimu na utu namna alivyo msikivu, Mnyenyekevu na mzalendo wa kweli kwa Taifa letu.

Tumeona namna alivyomfikia kila mtanzania kwa huduma bora za kijamii na fursa za kiuchumi na sote tumeona namna anavyopambana kuhakikisha kuwa hakuna anayeachwa nyuma wala kusahaulika wala kudidimizwa wala kukatishwa tamaa .tumeona ambavyo amekua muwezeshaji wa watanzania wote.

Ndio Maana tunasema liwe jua iwe Mvua ni lazima tumpatie miaka mitano ya kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili. sisi ndio wenye Nchi na tunajuwa ni nani anatufaa kutuongoza .na kwa pamoja tunasema ni Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan aliye chaguo la Mioyo yetu na mwenye uwezo wa kutuongoza watanzania
IMG-20241003-WA0030.jpg

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
VP KUHUSU SISIMIZI USALAMA WAO NA WAO HAKI YA KUISHI KTK NCH YAO MUNGU ALIOWAPA
 
Ndugu zangu Watanzania,

Huo ndio uamuzi kutoka katika mioyo ya mamilioni ya wafuasi, wakereketwa,mashabiki na wanachama wa CCM Nchini kwote.kuwa ni lazima tumpe Miaka mitano Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge kuliongoza Taifa letu.

Ni mitano mingine kwa sababu sote tumeona na kushuhudia juhudi zake katika kuleta maendeleo kwa Taifa letu,tumeona uchapakazi wake,tumeona umadhubuti wake katika kushughulikia kero na changamoto mbalimbali,tumeona ushupavu wake,uimara wake na uhodari wake katika kuwainua watanzania.

Tumeona namna alivyo leta Matumaini palipo kuwa na kukata tamaa,tumeona akileta nuru na mwanga palipokuwa na giza,akionyesha njia na muelekeo mahali palipokuwa na njia panda katika mioyo na akili za watu.tumeona akifungua fursa kwa watu.tumeona ndani ya muda mfupi kabisa akijenga uchumi imara , shirikishi na wenye kugusa maisha ya watu.

Tumeona Taifa likiendelea kuwa lenye amani na utulivu.tumeona namna alivyotuunganisha watanzania,tumeona namna alivyojenga kuaminiana na umoja wa kitaifa ,tumeona akileta heshima mahali palipokuwa na kudharaulika,tumeona namna mama huyu Mwenye moyo wa upendo ,huruma, ukarimu na utu namna alivyo msikivu, Mnyenyekevu na mzalendo wa kweli kwa Taifa letu.

Tumeona namna alivyomfikia kila mtanzania kwa huduma bora za kijamii na fursa za kiuchumi na sote tumeona namna anavyopambana kuhakikisha kuwa hakuna anayeachwa nyuma wala kusahaulika wala kudidimizwa wala kukatishwa tamaa .tumeona ambavyo amekua muwezeshaji wa watanzania wote.

Ndio Maana tunasema liwe jua iwe Mvua ni lazima tumpatie miaka mitano ya kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili. sisi ndio wenye Nchi na tunakuwa ni nani anatufaa kutuongoza .na kwa pamoja tunasema ni Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan aliye chaguo la Mioyo yetuView attachment 3114208

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Yes,
Ni mitano tena ya uhakika na ya kuaminika kwa kipenz cha waTanzania Dr Samia Suluhu Hassan 👊💪🌹
 
Mmetoka X (Twitter) mnakuja kupush # na huku, aisee kazi ngumu sana hii
 
Embu soma tena ulichoandika uone kama kinaingia akilini.
Hujaelewa nn hapo NANI ANASEMA HAYO?VP KUHUSU UTEKAJI NA MAUAJI YATAKUWA YAMEKOMA?HATUNA FURAHA NA AMANI KTK NCHI INAYOKUNYWA DAMU YA WATU WAKE.TUNATAKA RAIS ANAYEWEZA KUSIMAMIA WATU WAKE USALAMA WAO.AMIRI JESHI CYO K2 YA MCHEZO UNATAKIWA UWE MSTARI WA MBELE KULINDA WATU WAKO
 
Watanzania wana amani na furaha sana chini ya uongozi shupavu na madhubuti wa Rais Samia.Amani na usalama upo wa kutosha na ndio maana kwa sasa watu wanasafiri na mabus ya abiria usiku kucha.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Huo ndio uamuzi kutoka katika mioyo ya mamilioni ya wafuasi, wakereketwa,mashabiki na wanachama wa CCM Nchini kwote.kuwa ni lazima tumpe Miaka mitano Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge kuliongoza Taifa letu.

Ni mitano mingine kwa sababu sote tumeona na kushuhudia juhudi zake katika kuleta maendeleo kwa Taifa letu,tumeona uchapakazi wake,tumeona umadhubuti wake katika kushughulikia kero na changamoto mbalimbali,tumeona ushupavu wake,uimara wake na uhodari wake katika kuwainua watanzania.

Tumeona namna alivyo leta Matumaini palipo kuwa na kukata tamaa,tumeona akileta nuru na mwanga palipokuwa na giza,akionyesha njia na muelekeo mahali palipokuwa na njia panda katika mioyo na akili za watu.tumeona akifungua fursa kwa watu.tumeona ndani ya muda mfupi kabisa akijenga uchumi imara , shirikishi na wenye kugusa maisha ya watu.

Tumeona Taifa likiendelea kuwa lenye amani na utulivu.tumeona namna alivyotuunganisha watanzania,tumeona namna alivyojenga kuaminiana na umoja wa kitaifa ,tumeona akileta heshima mahali palipokuwa na kudharaulika,tumeona namna mama huyu Mwenye moyo wa upendo ,huruma, ukarimu na utu namna alivyo msikivu, Mnyenyekevu na mzalendo wa kweli kwa Taifa letu.

Tumeona namna alivyomfikia kila mtanzania kwa huduma bora za kijamii na fursa za kiuchumi na sote tumeona namna anavyopambana kuhakikisha kuwa hakuna anayeachwa nyuma wala kusahaulika wala kudidimizwa wala kukatishwa tamaa .tumeona ambavyo amekua muwezeshaji wa watanzania wote.

Ndio Maana tunasema liwe jua iwe Mvua ni lazima tumpatie miaka mitano ya kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili. sisi ndio wenye Nchi na tunajuwa ni nani anatufaa kutuongoza .na kwa pamoja tunasema ni Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan aliye chaguo la Mioyo yetu na mwenye uwezo wa kutuongoza watanzaniaView attachment 3114208

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mmeamua kwani mshamaliza uchaguzi wa rais?

Au mna uhakika wa kuiba kura?
 
Back
Top Bottom