Pre GE2025 CCM Tumeamua Kumpa Mitano Tena Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hatuhuitaji kampeni Safari hii FOMU ya URAIS kazime ziwe za kutosha,kila mwana CCM mwenye sifa anayo HAKI ya kuchukua FOMU....
 
Baada ya 2025 akipita tena huyu mama na sijasikia jina la Mwashambwa kuwa miongoni ya wateule wa nafasi za juu kabisa, nitaandamana mpaka ikulu.

Umejitoa ufahamu kwa hali juu mno, unapaswa kutunukiwa nishani ya juu kabisa. Ikiwezekana uwe hata mgawa chai wa ikulu.
 


CCM mnapigana vita yenu wenyewe Kwa wenyewe

And I think mnatengeneza mazingira flan ya watu kupata kitu cha kufanya au kupata posho

Mnatengeneza mazingira kama watu hawamtaki Rais Samia, au watu wanamashaka na Uongozi wake, Jambo ambalo sio la kweli

Hata ikiwa no kampeni, no anything, ufanyike uchaguzi obviously mama samia atashinda tena Kwa Kura nyingi

Na ushindi wake hautotokana na nyie mnaojifanya kuimba imba hapa kila saa na kila siku hapana it's because watu wamemwelewa

Acheni hayo mambo na mdeal na mambo mengine ya msingi zaidi

Acheni kujifanya mnatengeneza tatizo then badae mjifanye kashinda Kwa ajili ya nguvu zenu

Tanzania kuwa na Rais wa kutoka Chama kingine bado Sana tena sanaaaa
 
Kwa Mfumo wa Taifa Letu hata watanzania wasipompigia mama kura Lazima atashinda tena ushindi wakishindo kwasababu Ya uwepo wa tume ya uchaguzi ambayo ipo kulinda maslahi ya bosi wake ambae ni raisi wa nchi.Lkn siku katiba ya nchi itakapo badilika na tukawa na tume huru ya uchaguzi watanzania tutakuwa na uwezo wakumchagua raisi tunayemtaka lkn kwasasa bora liende tu.
 
Huyo ni pedi inahitajika wakati wa hedhi tu
 
Hakuna mwenye ubavu wala uwezo wala nguvu ya kushindana na Rais Samia katika sanduku la kura na hata jukwaani
View attachment 3114225
Hata ikiwa hivyo.

Wana CCM hawampi miaka mitano tena Samia kuwa rais. Huu uchaguzi wa urais si uchaguzi wa CCM.

Samia ikiwa atapewa mitano tena, atapewa mitano tena na wananchi wa Tanzania.

Wana CCM wanaweza kumpa Samia nafasi ya kugombea urais tu.
 
 

Attachments

  • VID-20241003-WA0005.mp4
    14.7 MB
  • VID-20241003-WA0005.mp4
    14.7 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…