Pendekeza hatuaMatamko ya juzi yameitenga kabisa Tanzania na Dunia
Imefika hatua mpaka waafrica wenzetu ( Ghana ) wanatoa tamko kuhusu hali ya Tanzania, na sasa kidogo kidogo tumeenza kukataliwa nje ya Africa.
Tukichelewa, tunaweza fika 2026 na jeraha ambalo litakua gumu au litachukua gharama kubwa kutibika.
Kwa sasa sio mfumo tena ni mtu, na tukiruhusu aendelee kutuchimbia hili kaburi, mwisho wa siku watanzania wote sio CCM wala Chadema, Wakristo au Waislam tutazikwa wote
Chukueni hatua
CCM ni chama kikubwa, wanajuaPendekeza hatua
Yona Atoswe bahariniPendekeza hatua
Mh! Youbare not serious! Nani ndani ya ccm ajue la maana?CCM ni chama kikubwa, wanajua
SupportYona Atoswe baharini
Kwa muundo wa uongozi wa CCM wala hakuna wa kumfanya lolote M!kiti wao! Labda baada ya hapa ndipo wataona uhatali wa kuwa Rais then kuwa chairman wa chama.Matamko ya juzi yameitenga kabisa Tanzania na Dunia
Imefika hatua mpaka waafrica wenzetu ( Ghana ) wanatoa tamko kuhusu hali ya Tanzania, na sasa kidogo kidogo tumeenza kukataliwa nje ya Africa.
Tukichelewa, tunaweza fika 2026 na jeraha ambalo litakua gumu au litachukua gharama kubwa kutibika.
Kwa sasa sio mfumo tena ni mtu, na tukiruhusu aendelee kutuchimbia hili kaburi, mwisho wa siku watanzania wote sio CCM wala Chadema, Wakristo au Waislam tutazikwa wote
Chukueni hatua
Lakini hicho si ndo nyie wanaharakati mnachokipenda?Matamko ya juzi yameitenga kabisa Tanzania na Dunia
Imefika hatua mpaka waafrica wenzetu ( Ghana ) wanatoa tamko kuhusu hali ya Tanzania, na sasa kidogo kidogo tumeenza kukataliwa nje ya Africa.
Tukichelewa, tunaweza fika 2026 na jeraha ambalo litakua gumu au litachukua gharama kubwa kutibika.
Kwa sasa sio mfumo tena ni mtu, na tukiruhusu aendelee kutuchimbia hili kaburi, mwisho wa siku watanzania wote sio CCM wala Chadema, Wakristo au Waislam tutazikwa wote
Chukueni hatua
Magu alipendwa na Africa nzima.
Mama anachukiwa na Africa + Dunia nzima.
kuzaliwa kwenye nchi yenye muslims ni curse …
Nenda south Sudan ..
Pendekeza hatua
Naiona JWTZ kutokuitwa tena kwenye peace keeping missions zozote.Matamko ya juzi yameitenga kabisa Tanzania na Dunia