CCM tunatamani sana kumtetea kada mwenzetu Ole Sabaya ila hasafishiki kwa kweli

Lini mmeshindana kwenye uchaguzi! Nyie mnalindwa na silaha za moto wakati wa uchaguzi. Uchaguzi ukifika mnakuwa mafisi mnakomba mpaka mifupa! Ndani ya chama hskukaliki mnagombea mpaka maboksi matupu.
Hakuna mgombea ambaye hafanyi umafya kwa ngazi ya udiwani na ubunge ndani na nje ya chama hadi kuibuka kidedea
 
Namuogopa Mungu yale maombi hayakwenda bure... Yale machozi hayakumwagika bure..Mungu ashukuriwe
Kwa mfumo wa vyombo vyetu hivi vya kutolea na kutafsiri sheria lolote linaweza kutokea. Kwa mwenendo ulivyo our mom has decided to go back to the drawing table and forgives all ~ to get new journey
 
Mama anasema anaanza upya
Inaonekana unafurahia sana watu walivyokuwa wanapigwa misumali ya ugoko.. ingekuwa ni mama yako mzazi au mtoto wako kafanyiwa hivyo sidhani kama ungekuja hapa kumtetea Sabaya. Acha unafiki!
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…hata kwa dodoki na detol
 
Hii ndio Taarifa mpya ambayo imetufikia hivi Punde kutoka Mahakama ya Kisutu 3/6/2022 , Kwamba Robert Kisena wa UDART pamoja na wenzake wameachiwa huru na Mahakama na kufutiwa mashitaka yote 15 , likiwemo la kuisababishia serikali hasara ya sh bilioni 2 .

DPP ameiambia Mahakama kwamba hana nia ya kuendelea na Mashitaka dhidi ya Ndugu Kisena na wenzake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…