DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Nyie vijana wa Chadema hata kuandika hamjui mtaweza kupiga kura?
Au mnampotezea muda lissu wa kwenda kula bata na robert ubeligiji
JPM keshapita anasubiri kuapishwa tu.Jiwe must go
Mbona bi mdashi wako tunakula naye Bata hapa Lumumba n wewe unatukatia mauno mbona tumekaa kimya[emoji1]Nyie vijana wa Chadema hata kuandika hamjui mtaweza kupiga kura?
Au mnampotezea muda lissu wa kwenda kula bata na robert ubeligiji
Magulufi hata cha kuombea maji hana. kamuambie aseme 'front page' akipatia ni-tag nikupe buku.Hiki kiinglishi cha kwa ras simba au ras ujugu?
Sema baba yako wa kamboSisi Watanzania Hatuwezi kuchagua kijakazi wa Mabeberu
Tunamchagua Mzalendo Magufuli Rais
Ndiyo Rais wako huyo, punguani mkubwa wewe, yule mwenye kiberiti n tatizo la moyo kwasasa anatembea kama Mamvi[emoji1]
Umemuona mzee wako Leo mwendo wake uko visiwani?LOWASSARAPA[emoji1]Rais mtetezi wa wazee wa jinsia [emoji3][emoji3][emoji3]
Pipo yuzidi tu dai in ze reki!Hiki kiinglishi cha kwa ras simba au ras ujugu?