CCM tuongozeni milele kuliko manyumbu wafuasi wa chama fulani

CCM tuongozeni milele kuliko manyumbu wafuasi wa chama fulani

Mende mdudu

Senior Member
Joined
Feb 13, 2023
Posts
111
Reaction score
223
Baada ya mwenyekiti wao na wafuasi wake kusema amekipambania chama nikatafakari na kujua wafuasi wa iko chama ni manyumbu

Iv kupambania maana yake katumia garama au pesa , kwa mfanya biashara mzoefu haoni hasara ku take risk ktk biashara

Uwekezaji wake katika chama wao wanaona kapambana kizungu wana ita ka invest amkeni manyumbu haja pambana bali ka-invest anakula matunda ya alicho panda.

By mkulima wa kahawa Misenyi mkoani Kagera.
 
Walikuwa wanamsema JPM kuwa anataka kujiongezea muda wa madaraka ila haikuwa wazi, sasa chadema wanajiweka wazi kabisa 😂
 
Kama mbowe atashinda kwenye hil UPINZANI BONGO watakaa sanaaa kuingia ikulu,,, bado nasikilizia hapa huenda TUNDU akatoboa ya mungu mengi
 
Back
Top Bottom