SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,814
Jina linabaki moja tuUmezaliwa lini? Huijui CCM vizuri
Sawa, ila la kwake halimo..Ili kutunza Amani yetu ni vizuri likabali jina moja tu.
Mwenyekiti wetuSawa, ila la kwake halitakuwemo..
October 2025 hatoboi
Huo mpango wa Mama na Mbowe umebumburuka! Watabaki na aibu tu. Heri watubu na kuacha mawazo mabaya ya uchaguzi wa mabavu. Waacheni Wananchi wachague viongozi wanaowataka.Ili kutunza Amani yetu ni vizuri likabaki jina moja tu.
NB: Mboe aende CHAUMWA apitishwe chap kuwa mgombea Urais kuzuga wapiga Kura na wafadhili.
Matusi yanaruhusiwa humu? Actually, calling others stupid says more about you than them.Stupid
Na huu ndo mpango wetu, ili isionekane tumekiuka saaana.Ili kutunza Amani yetu ni vizuri likabaki jina moja tu.
NB: Mboe aende CHAUMWA apitishwe chap kuwa mgombea Urais kuzuga wapiga Kura na wafadhili.
Huyu si mlevi, shida ni wewe hauna D mbili.Hivi moderators hakuna namna mkawa mnazuia walevi kuandika mada humu?
Tunaanza upya mchakato. Jina moja halikubaliki. Siyo demokrasia wala udamaduni weti CCM. Kila baada ya miaka 10 majina lazima yawe ya kutosha. Mara ya mwisho kuwa na majina mengi ilikuwa 2015 na sasa ni mwaka wa 10. Mama anaogopa nini kuwa miongoni mwa majina mengi. Kama ni YEYE basi atakuwa YEYE.Ili kutunza Amani yetu ni vizuri likabaki jina moja tu.
NB: Mboe aende CHAUMWA apitishwe chap kuwa mgombea Urais kuzuga wapiga Kura na wafadhili.
UsitupelekesheTunaanza upya mchakato. Jina moja halikubaliki. Siyo demokrasia wala udamaduni weti CCM. Kila baada ya miaka 10 majina lazima yawe ya kutosha. Mara ya mwisho kuwa na majina mengi ilikuwa 2015 na sasa ni mwaka wa 10. Mama anaogopa nini kuwa miongoni mwa majina mengi. Kama ni YEYE basi atakuwa YEYE.