CCM tuwape kili music awards zote kwa kutuburudisha lakini KURA hapana.

CCM tuwape kili music awards zote kwa kutuburudisha lakini KURA hapana.

uporoto01

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2008
Posts
4,698
Reaction score
1,423
Napendekeza kili music awards zijazo zote wapewe CCM kwa kutuburudisha mikutanoni mwaka huu kama alivoulizwa mama mmoja kwenye kipindi cha uswazi umekuja kufanya nini kwenye mkutano huu wa CCM akajibu nimekuja kuburudika.
 
Back
Top Bottom