U uporoto01 JF-Expert Member Joined May 23, 2008 Posts 4,698 Reaction score 1,423 Oct 24, 2010 #1 Napendekeza kili music awards zijazo zote wapewe CCM kwa kutuburudisha mikutanoni mwaka huu kama alivoulizwa mama mmoja kwenye kipindi cha uswazi umekuja kufanya nini kwenye mkutano huu wa CCM akajibu nimekuja kuburudika.
Napendekeza kili music awards zijazo zote wapewe CCM kwa kutuburudisha mikutanoni mwaka huu kama alivoulizwa mama mmoja kwenye kipindi cha uswazi umekuja kufanya nini kwenye mkutano huu wa CCM akajibu nimekuja kuburudika.