Pamoja na Nape kuwa bomu bingwa wa uropokaji, Chama changu kitukufu tuwe macho na Peter Msigwa staili yake ya kuzungumza bila kupima kauli zake inaweza kukiponza chama.
Ana speed kali juzi Kawe alimlinganisha Mbowe na Kurunzinza wa Burundi kwa Udikteta bila kujua kuwa tuna urafiki wa karibu na nchi hiyo.
Huyu hana diplomasia mimi nimeanza kuingiwa na wasiwasi naye. Akina Nape tunazidi kuwaongeza,tuchuje wanaoinga kwenye chama chetu, siyo wote ni members material, wengine ni joker ni magharasha.
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Viwanja vya Mwembetogwa Iringa mjini Mchungaji Msigwa afunguka sababu 4 za kuondoka CHADEMA