Only ni kweli kuna wakati inafika nguvu lazima itumike. At this stage sisi wapenda mabadiliko na anti Chama Cha Magamba tunatakiwa tukae mbali sana na fujo kwa sababu ni strategy ya Magamba kutumia Chama kama Chadema na kuki label kuwa ni Chama cha fujo na vurugu pale wenye itikadi tofauti na wao wanapotokea ku express tofauti zao.