We ngedere nani wa kuanzisha hayo mauaji? Hii ni Tanzania bwanamdogo hizo ndoto zako nenda kaotee SudanNa mauwaji yakitokea, wajiandae kwenda the Haigue.
Sijajua ni Kwa nini wanashadidia wizi na udanganyifu wa kura ilihali huku mtaani vibaka wanabanikwa na kupigwa viberiti.
Wakubari tume huru, free and fair election…period
Wote hao ni walewale.. Sawa na kitimoto na ngozi yake
We ngedere nani wa kuanzisha hayo mauaji? Hii ni Tanzania bwanamdogo hizo ndoto zako nenda kaotee Sudan
Mkuu JK, JokaKuu , mbona unataka kuturudisha nyuma?,hii ilipita imekwisha siku nyingi!,sasa tunaangalia uchaguzi wa 2030,mgombea urais wa JMT tayari tunaye bado tuu mwenza kutoka Zanzibar!。We are so much ahead!。..ukweli ndio huo.
..Samia Suluhu na Emmanuel Nchimbi hawataki Reforms.
..Wagombea hao wanataka marudio ya uchaguzi kama wa Oct 2020, na Nov 2024.
..CCM inapaswa kuachana na wagombea hao ambao bila shaka hawataki amani, wala haki.
..Chama kiteuwe wagombea wapya wanaothamini na kuheshimu haki, amani, na demokrasia.
Mkuu JK, JokaKuu , mbona unataka kuturudisha nyuma?,hii ilipita imekwisha siku nyingi!,sasa tunaangalia uchaguzi wa 2030,mgombea urais wa JMT tayari tunaye bado tuu mwenza kutoka Zanzibar!。We are so much ahead!。
Uchaguzi wa rais 2025 tuliisha ukamilisha,kinachosubiriwa ni kukamilisha tuu takwa la kikatiba kukamilisha taratibu,na matokeo ya urais wa 2025 tuliisha yatangaza kitambo sana!Pre GE2025 - LGE2024 - Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!
P
Hutu to clip kumbe mnatuhifadhi?Hiii ndo sababu
Wewe ndiye kilaza zaidi.We kilaza acha kukariri usichokielewa. Kafanye reform kwenye familia yenu mpunguze huo ufukara
Nazani na wewe unalinda ulichona cho na hutaki kugawana kwahiyo unaamini katika wizi na ufisadi sababu wewe pia ni mlamba asaliWe kilaza acha kukariri usichokielewa. Kafanye reform kwenye familia yenu mpunguze huo ufukara
Mwenzi wa sita ilo litafanyika!!..ukweli ndio huo.
..Samia Suluhu na Emmanuel Nchimbi hawataki Reforms.
..Wagombea hao wanataka marudio ya uchaguzi kama wa Oct 2020, na Nov 2024.
..Wako tayari kumwaga damu za Watanzania ili wapate madaraka.
..CCM inapaswa kuachana na wagombea hao ambao bila shaka hawataki amani, wala haki.
..Chama kiteuwe wagombea wapya wanaothamini na kuheshimu haki, amani, na demokrasia.
CCM waoga na wanafiki sana Ndugu yangu..ukweli ndio huo.
..Samia Suluhu na Emmanuel Nchimbi hawataki Reforms.
..Wagombea hao wanataka marudio ya uchaguzi kama wa Oct 2020, na Nov 2024.
..Wako tayari kumwaga damu za Watanzania ili wapate madaraka.
..CCM inapaswa kuachana na wagombea hao ambao bila shaka hawataki amani, wala haki.
..Chama kiteuwe wagombea wapya wanaothamini na kuheshimu haki, amani, na demokrasia.
Yule wa MwanzaMkuu Bora hata na hao,Unatengemea nani agombee pale Ccm ?ambaye atakubali Reforms?Nani? Huyu January au Mwigulu?
Usipotukana unapungukiwa na nini? Nenda kapige mswaki kwanza kabla ya kufungulia domo lako- Lina shombo sana. Na huyo bwanamdogo unayemtaja ndiye mzazi wako. Usiseme nakuvunjia heshima wakati wewe unawaita wengine Ngedere 🙁We ngedere nani wa kuanzisha hayo mauaji? Hii ni Tanzania bwanamdogo hizo ndoto zako nenda kaotee Sudan