P kwani jimbo la Kawe tayari umelitia Kibindonii amaa?Mkuu JK, JokaKuu , mbona unataka kuturudisha nyuma?,hii ilipita imekwisha siku nyingi!,sasa tunaangalia uchaguzi wa 2030,mgombea urais wa JMT tayari tunaye bado tuu mwenza kutoka Zanzibar!。We are so much ahead!。
Uchaguzi wa rais 2025 tuliisha ukamilisha,kinachosubiriwa ni kukamilisha tuu takwa la kikatiba kukamilisha taratibu,na matokeo ya urais wa 2025 tuliisha yatangaza kitambo sana!Pre GE2025 - LGE2024 - Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!
P
We kilaza acha kukariri usichokielewa. Kafanye reform kwenye familia yenu mpunguze huo ufukara
Mzee anauzoefu na chaguzi za wajumbe ,usimchukulie poa alishawai pewa kura moja na wajumbe, Chezea P weweP kwani jimbo la Kawe tayari umelitia Kibindonii amaa?
Sasa inakuwaje naye anaimba neno amani kama sala ila humsikii akitaja neno Haki kama walivyo ccm wote?Mzee anauzoefu na chaguzi za wajumbe ,usimchukulie poa alishawai pewa kura moja na wajumbe, Chezea P wewe
Utashangaa kwa mzee wetu P ,kama kungekuepo na haki mzee wetu asingepewa kura moja , mzee anauvumivu sana ,Sasa inakuwaje naye anaimba neno amani kama sala ila humsikii akitaja neno Haki kama walivyo ccm wote?
Keyboard warriors hamna madhara kiufupiRudia kuandika, bado sijakuelewa una maanisha nini? Tafadhari mkuu.... Hisia pembeni, nyumba ni yetu sote.
Ana uvumilivu wa kutolitaja neno Haki au?Utashangaa kwa mzee wetu P ,kama kungekuepo na haki mzee wetu asingepewa kura moja , mzee anauvumivu sana ,
Na Nyerere alishasema upinzani wa kweli utatokea humohumo kwa mbogamboga......hii ndo survival of the fittest wasiojiweza watatoka tuMbogamboga wenyewe this time njaa imewajaa mpaka wanatoa meno ya akiba kila mmoja katoa meno kadhaa,njaa mpka white house mlinzi anatamani adondoke mjue hali Tete
Ila ccm na chawa wao wanamadhara kwa Taifa na Watanzania?Keyboard warriors hamna madhara kiufupi
Ndo maana October 2025 mtu wao anaapishwa...ila keyboard warriors yatajirudia haya haya tena hapo 2030Ila ccm na chawa wao wanamadhara kwa Taifa na Watanzania?
Mjifariji mjipe moyo uhakika wa ugali mnao ama sio?Ndo maana October 2025 mtu wao anaapishwa...ila keyboard warriors yatajirudia haya haya tena hapo 2030
Ndio ili hali kukosekana kwa haki katika uchaguzi ule ulimfaanya kupata kura mojaAna uvumilivu wa kutolitaja neno Haki au?
Ndio nipo kwenye shamba la babu kuna mahindi yakutosha, vipi we hujalima?Mjifariji mjipe moyo uhakika wa ugali mnao ama sio?
Sema shamba lako ni korido za mchwa wa lumumba tena ukiishi kwa kujikomba na kuomba omba kutoka kwao,huku hata wanacho kupa wamekuibia wewe na WatanzaniaNdio nipo kwenye shamba la babu kuna mahindi yakutosha, vipi we hujalima?
Uchaguzi ukiwa huru na wa Haki CCM ijiandae kuikabidhi Ikulu.We kilaza acha kukariri usichokielewa. Kafanye reform kwenye familia yenu mpunguze huo ufukara
Sasa ulichoandika ndo kitawasaidia kuingia ikulu? Au na wewe unajifariji....kwakweli jipeni moyo hakuna namnaSema shamba lako ni korido za mchwa wa lumumba tena ukiishi kwa kujikomba na kuomba omba kutoka kwao,huku hata wanacho kupa wamekuibia wewe na Watanzania
Sasa nwenge unaingiaje hapo na kufanya reforms kwenye mfumo wa uchaguzi,Kweli tunaongozwa na vilaza na wezi asieeUchaguzi rahisi sana kikubwa mwenge ushakimbizwa kelele zitabaki mitandaoni tu hao mnaosema mbogamboga wanawajua huku uraiani wamejaa ma keyboard warriors tu ndo maana wanaojua uhalisia wanapambana tu humohumo ndani ya chama maana wanajua nje ya chama hamna kitu zaidi ya makelele tu
Chawa mnayo kazi kweli kweli hasa katika muda na wakati huiSasa ulichoandika ndo kitawasaidia kuingia ikulu? Au na wewe unajifariji....kwakweli jipeni moyo hakuna namna
Jinyonge maana na ugenius wako wote umeshindwa kujitawala ukatawaliwa na vilaza sasa hapo unajiona we mzima?hizo akili unazojiona upo nazo kuwashinda hao wanaokutawala vilaza nenda kavumbulie style mpya za kuzagamuana mitaro kwa hao watu wenu wa demokrasia wanaowateteaSasa nwenge unaingiaje hapo na kufanya reforms kwenye mfumo wa uchaguzi,Kweli tunaongozwa na vilaza na wezi asiee
Na we hapa mbona unaakisi hilo uliloandika ...side B pia hali mbayaChawa mnayo kazi kweli kweli hasa katika muda na wakati hui