PreGE2025 CCM waachane na Samia Suluhu na Emmanuel Nchimbi. Hawataki Reforms

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hawa wapigwe Magnistky style sanction wakome kwenda EU na USA 🇺🇸 safari za China ma Russia kama Maduro
 
Na mauwaji yakitokea, wajiandae kwenda The Hague

Sijajua ni Kwa nini wanashadidia wizi na udanganyifu wa kura ilihali huku mtaani vibaka wanabanikwa na kupigwa viberiti.
Wakubari tume huru, free and fair election…period
Wataenda Uholanzi na suti kama BOSCO NTAGANDA
 
Wataenda Uholanzi na suti kama BOSCO NTAGANDA
Hako kamahakama ka ma puppet labda itokee hii nchi ishikiliwe na puppet wao ndo hayo yatawezekana na hakuna dalili ya hii nchi kuja kushikwa na puppet....mtaishia hapo Kenya tu
 
Reactions: Tui
Wanajidai et ndo Chama chenye wafuasi wengi huku wanaogopa uchaguzi
 
Naunga mkono hoja 100%
 
Kifupi hata aje slow slow mambo ni yale yale! Chukuwachakomapema hakuna reformist! Wakifanya reforms mchezo umeisha. Kitakufilia mbali na watajaa JELA kwa wizi na ufisadi!
 
Hako kamahakama ka ma puppet labda itokee hii nchi ishikiliwe na puppet wao ndo hayo yatawezekana na hakuna dalili ya hii nchi kuja kushikwa na puppet....mtaishia hapo Kenya tu
We endelea kuamini u papeti ila mama yenu anavaa ushungi the Hague badala ya UN New York bwana Maduto anaishi kama panya now
 
We endelea kuamini u papeti ila mama yenu anavaa ushungi the Hague badala ya UN New York bwana Maduto anaishi kama panya now
Mama mpaka 2030 hio ...ndoto zenu ni ruksa pia ndo reform yenyewe hio ...ndoto bure urais CCM
 
Reactions: Tui
Ukizoea vya kunyonga vya kuchinja huviwezi. Ccm wajinga walizoea kuiba kura mwaka huu tutagawana maumivu. NO REFORM NO ELECTION. pumbavu zenu
 
Usipotukana unapungukiwa na nini? Nenda kapige mswaki kwanza kabla ya kufungulia domo lako- Lina shombo sana. Na huyo bwanamdogo unayemtaja ndiye mzazi wako. Usiseme nakuvunjia heshima wakati wewe unawaita wengine Ngedere 🙁
Huyu Mimi nimemlima block. Sitaki hata kuona anachocomment humu
 
Ukizoea vya kunyonga vya kuchinja huviwezi. Ccm wajinga walizoea kuiba kura mwaka huu tutagawana maumivu.
Si wengi wanaojua jua kuwa hata wizi, una kanuni zake, you can't steal from yourself!. Yaani huwezi
Kujiibia mali yako mwenyewe!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…